Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

Wanufaika hapo

Mbowe na mtoto wake wa kufikia (Salum Mwalimu).
Lema
Lissu
Msigwa
Heche
Wenje

Ukiona kiongozi wa CDM anafanya mikutano isiyoisha hao ndio wanajustify kwenye kutumbua hizo posho.

Salum Mwalimu yeye ata bila ya kufanya mikutano analipwa kama mtoto wa Mbowe.

Kwa hivyo hilo genge lazima watete huo ulaji.

Hizo ndio sababu hakina Shonza, Mtela na vijana wengine machachari walionza siasa zao CDM kusepa.

Ile BAVICHA ya hakina Mtela ingekuwepo sasa hivi CCM ingekuwa na wakati mgumu kidogo, walikuwa wakiwasha moto humu JF hasa Juliana Shonza mtatia akili.

Tatizo mwenyekiti ana kamati yake ya kutumbua ruzuku wengine awazioni hizo hela n’goo.
 
Acha basi ukigeugeu Mkuu!
Kuna vyama vingapi vilishiriki uchaguzi havina luzuku kwa sababu havina mbunge hata mmoja?
Soma katiba acha kujizima data ndg, usipofikisha 5% ya matokeo ya Urais huwezi pata ruzuku...hv mnaendaga shuleni kufanya nn?
 
Nguruwe ni HARAMU,LKN SUPU YAKE NI HARARI, inahitajika uwe mpumbavu wa kiwango vha degree kuamini hayo,
 
Nikukumbushe Chadema haipokei Ruzuku kwa Ajili ya Hao Wabunge Chadema inapokea Ruzuku kwa Kushiriki Uchaguzi 2020 na kupata kura zaidi ya ASILIMIA 5 someni Katiba
Uchaguzi wa 2020 ambao hawautambui? Au uchaguzi upi?!
 
Kinachonichekesha ni kwamba bado kuna mapoyoyo humu yanakaza fuvu kushabikia chadema🤣 wote wajinga kuanzia chama hadi wafuasi
Wanaitetea mno hiyo Ruzuku na wanaitolea mafungu ya sheria wakati juzujuzi tu walikuwa kinyume mno na hili jambo la Ruzuku, watu bhana!
 
Wanaitetea mno hiyo Ruzuku na wanaitolea mafungu ya sheria wakati juzujuzi tu walikuwa kinyume mno na hili jambo la Ruzuku, watu bhana!
Si ndo wajinga walioijaza nchi hao. Hadi kichefuchefu yaani
 
Nikukumbushe Chadema haipokei Ruzuku kwa Ajili ya Hao Wabunge Chadema inapokea Ruzuku kwa Kushiriki Uchaguzi 2020 na kupata kura zaidi ya ASILIMIA 5 someni Katiba
Acha kidanganya umma uchaguzi upi mnaouita uchafuzi kumbe nanyi ni miongoni mwao hahahaha chawa. Wa ccm Sasa mmekamatwa haswaaa
 
Bro waswahili walisema "penye udhia penyeza rupia".
Wanawakataa mdomoni, lkn moyoni mwao wanawashukuru sana hao wamama 19. Maana bila hao cdm wangekuwa dhofu bin khali.
 
Wana siasa wanafiki hatama za watoto wao na kujenga majumba ya kifahari ,Kam a n maendeleo serkali itapelekaa SAS wee kaha kujifanya ccm au CDM eti itakuletea amendeleo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna watu ukiwamo mleta mada CDM kupata pesa kunawauma sana.

Hauko peke yako ndugu. Hata Zitto, Lipumba, na Cheyo wamesikika wakiwa na gundu kama wewe.

Hiiiiiiii bagosha!
 
Bro waswahili walisema "penye uzima penyeza rupia".
Wanawakataa mdomoni, lkn moyoni mwao wanawashukuru sana hao wamama 19. Maana bila hao cdm wangekuwa dhofu bin khali.

Marekebisho kidogo ndugu:

Penye uzima penyeza rupia ❎

Penye udhia penyeza rupia ✅
 
Acha basi ukigeugeu Mkuu!
Kuna vyama vingapi vilishiriki uchaguzi havina luzuku kwa sababu havina mbunge hata mmoja?
Wewe Ndiyo Mbulula Kabisa .
Kura Za Urais Ilizopata Chadema Zinatosha Kuwapa Ruzuku Tena Nyingi Tu.
Kama Hujui Unatakiwa Kutulia Ueleweshwe.
 
Swala lenyewe Lipo Mahakamani .acha Mahakama Ifanye Kazi Yake
 
Wewe Ndiyo Mbulula Kabisa .
Kura Za Urais Ilizopata Chadema Zinatosha Kuwapa Ruzuku Tena Nyingi Tu.
Kama Hujui Unatakiwa Kutulia Ueleweshwe.
Mburula ni yule aliyeshindwa kujibu swali la kwa nini chadema walisusia Ruzuku na sasa wanapokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…