Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 22, 2024 #1 Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya" Your browser is not able to display this video.
Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya" Your browser is not able to display this video.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Nov 22, 2024 #2 Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana
Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana
Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Nov 22, 2024 #3 chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Kwa hiyo unamaanisha pesa za ccm ni chafu boss?
chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Kwa hiyo unamaanisha pesa za ccm ni chafu boss?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 22, 2024 #4 chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Jikite kwenye mada
chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Jikite kwenye mada
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Nov 22, 2024 #5 Maseke ya Meme said: Kwa hiyo unamaanisha pesa za ccm ni chafu boss? Click to expand... Ingekuwa chafu angezirudisha, sasa hivi ananenepeana mashavu kutokana na michango hiyo
Maseke ya Meme said: Kwa hiyo unamaanisha pesa za ccm ni chafu boss? Click to expand... Ingekuwa chafu angezirudisha, sasa hivi ananenepeana mashavu kutokana na michango hiyo
Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Nov 22, 2024 #6 chiembe said: Ingekuwa chafu angezirudisha, sasa hivi ananenepeana mashavu kutokana na michango hiyo Click to expand... Hoja yako ilikua nn sasa? Yeye kaongelea pesa chafu ukasema ccm wamemchangia what's the connection? Mnasoma comprehension siku hizi huko sekondarini?
chiembe said: Ingekuwa chafu angezirudisha, sasa hivi ananenepeana mashavu kutokana na michango hiyo Click to expand... Hoja yako ilikua nn sasa? Yeye kaongelea pesa chafu ukasema ccm wamemchangia what's the connection? Mnasoma comprehension siku hizi huko sekondarini?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 22, 2024 #7 Maseke ya Meme said: Kwa hiyo unamaanisha pesa za ccm ni chafu boss? Click to expand... Pesa za CCM ni za wiziwizi
Maseke ya Meme said: Kwa hiyo unamaanisha pesa za ccm ni chafu boss? Click to expand... Pesa za CCM ni za wiziwizi
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Nov 22, 2024 #8 chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili.
chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Nov 22, 2024 #9 chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Huna hata za kuvukia Barbara. Baadae ya kuchangiwa aliwasifia?
chiembe said: Yeye mwenyewe amechangiwa na CCM kununua gari, na hata alipounwa wabunge wa CCM na serikali ndio wakitoa fedha nyingi sana Click to expand... Huna hata za kuvukia Barbara. Baadae ya kuchangiwa aliwasifia?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Nov 22, 2024 #10 CHIEF PRIEST said: Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili. Click to expand... Amechelewa