Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kumfananisha Bashite na Lissu ni kumkufuru Munguhuyo ndiye saizi yake bashite, wengine wote naona hawatoshi.
Kitengo cha usalama cha Chadema ni makini sana .Duuh, huyu kamanda ina maana ameingia Tanzania toka Belgium na USA kimyakimya na ghafla anaibukia kwa RCO wa Arusha?
Anyway, it doesn't matter. Muhimu ni kuwa tumemwona Tena na tunamkaribisha kwenye timu ushindi 2024 - 2025..
Hakika .Rais ajae huyo. Ni lini, utajua yakitimia..
Ukweli mtupu !CCM wanatamani jamaa afe lakini wapi MUNGU hataki
CCM ina watu wajinga snUkweli mtupu !
Msengerema kama wewe ni wa kupuuzwa tu na kisukari chako kafie mbali huko.Msaliti Tundu Lisu ni past tense
Nakubaliana nawe mkuu. Yaani hao ni sawa na mbingu na ardhi TL akiwa mbingukumfananisha Bashite na Lissu ni kumkufuru Mungu
AmenNakubaliana nawe mkuu. Yaani hao ni sawa na mbingu na ardhi TL akiwa mbingu
Mkuu ambariki mara ngapi?Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lisu
Mungu bado hajajisajili JF pulizikumfananisha Bashite na Lissu ni kumkufuru Mungu