Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

Kitengo cha usalama cha Chadema ni makini sana .
Aisee

Ina maana kikosi kazi cha Albert Bashite a.k.a Paul Makonda cha kuteka, kutesa na kuua kilishamfanyia timing kimdungue hukohuko angani siyo?

Ni njema sana kama mliliona hilo na kuukwepa mtego huo
 
Anyway, it doesn't matter. Muhimu ni kuwa tumemwona Tena na tunamkaribisha kwenye timu ushindi 2024 - 2025..
Tusidanganyane mkuu 'Uzima', "timu ushindi" ni leo hii na wala siyo hata kesho. Muda umekwisha potea sana, na kazi ya kuupata huo ushindi ni kubwa sana.

Dalili kwa sasa siyo nzuri hata kidogo.
 
Back
Top Bottom