Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kwa hiyo?Atakufa kwa mpango wa MUNGU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo?Atakufa kwa mpango wa MUNGU
Kitengo cha usalama cha Chadema ni makini sana .
Wasubiri uamzi wa MUNGUKwa hiyo?
Hatutajibu maswali ya kijingaCha Kuua na kuteka sio?
Na kumwaga tindikali
Vp intelligence ilikua wap mpaka uviko 19 wanachomoa betri?
Au wa SHETANI😁Wasubiri uamzi wa MUNGU
namwona mzee wa kadeti za kisasa chadema hovyo sana walah
Karibu sananamwona mzee wa kadeti za kisasa chadema hovyo sana walah
Hadi umejisogeza kutazama picha za TAML zinavyokupaga ndoto mbaya ukisinzia kilabuni.Msaliti Tundu Lisu ni past tense
Ngoja tuone mkuuAu wa SHETANI😁
Umeanza kuandika utoto.Mungu bado hajajisajili JF pulizi
kwa sasa karamu iko uchumi wa blue nduguKaribu sana
hovyo sana hawa jamaa..siasa zao za kishamba haijawahi kutokea ulimwenguni hawana mlengo wowote wa kiuchumi kwa wanaowapigania kinafikiMatapeli yamejikusanya
Soma ukubwa na wewe basiUmeanza kuandika utoto.
Sawa Tundu Kama Raia Mwema namba moja anaonesha mfano kutii Mwito wa KipolisiMakamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameripoti kwenye kituo Kikuu cha Polisi Arusha Mjini , kwa ajili ya kuendelea kutoa maelezo kutokana na kile kinachoitwa kufanya mikutano bila Kibali huko Ngorongoro Mwezi septemba .
Ameambatana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Chake .
View attachment 2810818View attachment 2810819View attachment 2810821View attachment 2810822
Sanaaakumfananisha Bashite na Lissu ni kumkufuru Mungu
Kwa namna hii?Tanzania imekomaa kidemokrasia