Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

11 November 2023
Arusha, Tanzani

Tundu Lissu arejea nchi kutoka ngambo, afika kituo cha Polisi Arusha

View: https://m.youtube.com/watch?v=GXU56w0pRyg
Baada ya mahojiano amepewa miadi arejee tena tarehe 13 ...

Mheshimiwa Tundu Lissu alikuwa safarini kikazi bara la Marekani ya Kaskazini ambapo alitoa mihadhara kadhaa katika vyuo vikuu vya nchini Marekani na pia kukutana na wana diaspora watanzania waishio katika majimbo na miji ya nchini Marekani.
 
Karibu Nabii Lisu,

Maandamano yasiyo na ukomo ndio njia pekee ya kuzibua masikio ya Watawala.
 
Back
Top Bottom