Kwa hiyo akili zako umeshikiliwa na huyo anayelishwa kwa pesa za walipa kodi tangu azaliwe?
Chama Changu Cha Mapinduzi hawaamini kinachotokea. Upepo sio mzuri, dalili ni mbaya kabisa. Haikutarajiwa hata kidogo
Mpe salaam za JF. Mkumbushe akienda The Hague haendi na mkewe bali atatuachia sisi. Jee anapenda hali hiyo?Jumamosi nikipata muda nitaenda kwake tegeta kumsalimia.
Haya miaka tumpe 5, je utajiri huo unafanana na malipo ya miaka mitano ya Ubunge? Au na yeye anachota kama mlevi wa konyagi? ie michago ya wabunge na ile ruzuku ya 320million + ya kia mwezi? Chema tu njomba .. . khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKweli wewe punga,Lissu kawa Mbunge kwa Mwaka mmoja?
Kila la kheri BabaView attachment 1587510
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa , na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28 , Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2 .
Kama ulimsikiliza Polepole usingesema hayo. CCM huwa hawabahatishi, mark my words tena sio kwa jembe la uhakika Jemedari JPM. Tupo hapa ngoma inadunda. Wenyewe mlikiri JK alikuwa dhaifu sasa ngoja uone udhaifu wa JP kama unapenda usikimbie tu maana hapa tunakwenda na kasi yake, sio kwa Saccos pekee hapa ulimwenguni.Acha we! Umesikia lile tamko la NISUGUEEEE! ?? Hivi huyo utamuitaje kama ni hivyo? Chungeni kauli zenu Mataga!
Sio Moshi tena?Akaripoti central baada ya kupiga picha.
Popote tu pale ambako kuna watumishi wa Polisi Tanzania.Sio Moshi tena?
Umeongea nini hapa? Mbona hueleweki?Kama unaijuwa sheria na katiba unaijuwa. Kama sheria ipo basi ipo kikatiba. Ipo sheria inayokataza ushoga na iko chini ya katiba hii. Je wewe unashabikia ushoga au unaupenda. Aandalia saana usijeandikishwa kwenye kundi.
View attachment 1587510
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa , na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28 , Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2 .
Ndugu Mambo ni magumu tunapiga kampeni Ila watu wamegoma kuelewa somoChama Changu Cha Mapinduzi hawaamini kinachotokea. Upepo sio mzuri, dalili ni mbaya kabisa. Haikutarajiwa hata kidogo
πππNdugu Mambo ni magumu tunapiga kampeni Ila watu wamegoma kuelewa somo
unaipenda sana Chadema lakini kwa sasa hatupokei mamluki tenaUtafauti wangu mimi na wewe, ni kuwa wewe ni mshabiki wa chadema mtandaoni wakati mimi ni mwanachama wa chadema mtaani.
Hao kwemye picha karibu wote tunafahamiana na kama isingekuwa majukum niliyonayo leo basi ningeenda hapo kwa kuwa nilijua wataenda na niliambiwa...
Mpakwa mafuta wa Bwana amefika salama. Sifa na utukufu vimrudie Mwemyezi Mungu Bwana wa MajeshiView attachment 1587510
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa , na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28 , Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2 .
Hehehee mazoea yana taabu.Hivi kuna ugumu gani jamaa zetu wa CCM kutamka wazi 'IMEKWISHA' na kukata roho kisiasa?
Mbona hilo lingetupunguzia malumbano yasiyo sababu hadi mataifa makubwa yanatujadili?
Kwaheri ukoloni Kwaheri CCM