Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

Hongera yake sana na Mungu wetu ni waupendo hakutaka taifa letu liangamie Tundu Lissu is our new president tunasubiria tarehe 28/10 ifike tuamuwe.
Mungu ajibu maombi yetu kwa kweli nimemuomba mungu sana ccm iondoke madarakani.
 
Jifunze kuandika.
 

Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
Ametumia usafiri wa barabara za lami au karuka na Air Tanzania?

Katumia muda gani kutoka Kilimanjaro hadi Dar na kufika salama?

Je, kaikuta familia yake iko salama kabisa hapo Dar es Salaam na wanaendelea kufurahia maisha salama salmini.

Akiweza kujibu hayo kwa uchache aache ujinga na kuropoka.
 
Na walaaniwe wote waliopanga na kutaka kumuua Tundu Lissu, NJIA ZAO ZOTE ZIWE GIZA NA UTELEZI. "katika Jina la Yesu KRISTO na wote tuseme Amen."

JESUS IS SAVIOR!!!!
 

Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
Mkuu Erythrocyte nakuona hapo mstari wa mbele umepiga koti la bei mbaya na t shirt nyekundu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Lissu si wa kupewa mikwara ya kijinga kama hii yako , Muulize kilichomkuta Sirro
 
Singida samia suluhu wala hashangiliwi watu wanamtazama tu ccm oyeee watu kimya magufili oyeee watu kimya doh
 
Acha uduanzi
Hizo barabara zimejengwa kwa Kodi zetu
Jiwe na maCCM wenzako ni wasimamizi tu
 
PUMBAVUUUUUU

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…