Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Ery, hizo ni barakoa au chupi? [emoji849][emoji849]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
bahati nzuri Lissu si mkimbizi. Hata hivyo wazungu wanaheshimu sana taaluma. Ukiwa na taaluma watakupa nafasi mradi tu ufaulu mitihani yao usajiliwe na bodi zao za taaluma.
Basi akifanye hiyo mitihani tuone Kama ataweza

Pia acha uongo Hakuna nafasi ya kazi ya nje nje ulaya kiss una taaluma !!!! Wako kibao wanazo wanabeba box na kufanya. Vikazi vidogo vidogo vya low pay na vyeo vya chini mno

Fani ya Lisu ya sheria Sio fani adimu Ulaya wanao kibao Hadi wa kusaza abgekuwa kasomea udaktari bingwa Hapo walau angeweza pata lakini pia kwa sharti la kufanya mitihani Yao na kujua lugha zao za ubelgiji

Kule anaenda kuganga njaa hawezi kuwa na maisha mazuri Kama aliyokuwa nayo Tanzania Ni uongo

Kule anaenda ishi Kama third class citizen omba omba

Kutwa atakuwa akizurura na barakoa kea huku akipumua kwa shida . Tanzania alikuwa akipumua kwa Raha zake
 
Lissu hahitaji kufanya kazi, hata hivyo kwa wasifa alionao na anavyokubalika angeweza kupewa nafasi ya kuwasaidia wakimbizi wa kisiasa kutoka Afrika.
 
Mbona ndiye mshindi. Utaonekena mwendawazimu ukisema kuwa kashindwa.
Kajaza viwanja vya kampeni watu waliokwenda kwa hiyari huku wakiwa na Pesa ya kuchangia mafuta kusaidia kampeni.
Wizi wa kura wa wazi uliozagaa nchi nzima nani ambaye Hakuna. Aliyekuwa na akili tu ndiye anaweza kusema kulikuwa na uchaguzi Tanzania 2019 na 2020
 
Ulitegemea beberu akusifie?. Mapunguani ndio mnaoona hawa mabeberu miungu watu, endeleeni kuwaimbia nyimbo za ku waabudu. Tanzania chini ya Mzalendo namba moja itafana Sana.
Hahahhaa mnapo nifurahisha ni hapo tu kwamba ni mabeberu halafu hapo ulipo emavaa chupi waliyo kuletea wao hapo ndio huwa nashindwa kuwaelewa
 
Lakini si amesindikizwa na wazungu dodiii...

Unaona wivu, hilooo
 
Kulikoni Rungwe,Lipumba,Queen nk?
 
Nimesikia CNN wakichambua jambo hilo kwamba ni Aibu kubwa sana kwa nchi , wameitaja nchi yetu kama pori la wanyama
Wazungu wabarikiwe.
Wabarikiwe kwa kuita nchi yetu pori la wanyama? Hakyanani huko chadema mnaumwa, tena ugonjwa wenyewe mi wa kifisha 😢😢😪
 
You are stupid anyway
 
Kwa upeo wako mdogo huwezi kuelewa. Na hizi akili ndo zimefanya CHADEMA ife. Ikija kufika 2025 mtakuwa Kama SAU au CHAUMA.
tofauti kati yako na Mbwa ni ndogo. Niulize kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…