Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

Usiwe mbishi, jamaa ameng'ara na juwa maarufu. Chadema toka kuwa na viti 70 kaikweza hadi kiti kimoja unadhani kazi ndogoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hao Maafisa wadogo wa hizo balozi wangeweza kimsindikiza Lissu bila idhini ya Mabalozi wenyewe?

Kama Mabalozi waliruhusu Maofisa wadogo wafanye jambo hilo basi ni wazi kwamba MABALOZI HAO (WA MAREKANI,UJERUMANI NA UBELGIJI) WALIMSINDIKIZA T.LISSU PALE JKN IA.
 
Vitisho vikubwa vya kumuua vya "nyaunoko" watu wanakimbia madeni, mnatunga uongo wa vitisho, nani amuue mtu asiye na faida yoyote kwa watanzania? uchaguzi kashindwa vibaya, chadema kaisha iua, hana impact yoyote, Kaikuta na wabunge 70 aliocha mzee Lowasa kaiacha na mbunge 1, ndio atishiwe maisha? wacha akale bata, nyie kalagabaho na uboze wenu
 
Pole,inaonekana unateseka sana juu ya Lissu!
Tunamtakia Lissu maisha marefu ili aje ashuhudie mwisho wa mtesi wake jiwe!
 
Amekimbia kesi na madeni, mwanzoni alivyokuja, alianza uchokozi ili azuiwe airport, akaachwa, akataka akamatwe, akaachwa, akatukana sana kwenye mikutano, akaachwa, akawaudhi watanzania, akaachwa, akaingia kwenye uchaguzi, akaachwa, amejaribu maandamano akaachwa na watanzania, amekimbia akaachwa
 
Nyambafu.....Hata kama Mbingu zingeletwa na Utawala wowote kwenye Nchi yoyote la muhumu ni Utawala wa Sheria na Haki. Otherwise hizo flyover ... sijui takataka gani ni Nothing...
 
hahahaaaaaaaaaaa erythrocyte sijakuona sikunyingi habari za leo mheshimiwa tundu vipi kaingia ikulu?maana ulivyokuwaga unampamba ,ni yeye kamanda tuvushe na meeeengii leo huyo hapo kisha mmeshindwa kumpigia kura kumbe mlikuwaga mnaenda kumshangaaa viwanjani wakati wa kampeni tu
 
Duu mkuu umetisha, AKAACHWAAA, kila mtu alishampuuza waikuwa wanamchora tu amemalizaanaanza kuogopa kivuli chake mara nayishwa.
 
Anakuaga ahana mkono mzuri hata wakat wa kesi akaishika tu ujue unashindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona unalia ?
Ha ha haaa! Pole kamanda uchwara! Kamanda uchwara mkuu kakuacha solemba!!! Ndiyo muwe mnaelewa mkielezwa! Neno uchwara limetumika kwa utani kwani makamanda walioazimia kulala barabarani wakishindwa hawakuonekana hata kwenye mtaro wa barabara!!! Ha ha haaa!

Sasa serious issue! Mkuu unahakika Lissu amekimbia kweli kuhusu usalama wake na tambo zote alizokuja nazo wakati anarudi kwa ajili ya kukiua chama cha CHADEMA ama amekimbia kesi zake zilizoko mahakamani !?
 
Haya Lisu kaondoka kijanja bila kuaga hata chama chake. Swali pesa ambazo Mbowe na Chadema walikopa kwa Lisu kusema Amsterdam ataleta pesa inakuwaje?

Lisu kakimbia kulipa madeni ya ndani yakiwemo ya wakenya waliokopesha

Mjanja kaingia mitini mtajijua hiyo mideni mtalipaje .Mbowe kazi kwako

Tulikwambia pesa nyingi peleka majimboni kwa wabunge usirundike zote kwa mgombea uraisi hukusikia Sasa utajijua hayo madeni utayalipaje mwenzio ndio katoroka hivyo kakubwagia zigo la madeni
 
Good news. Huyu shujaa wetu sasa ni muda muafaka wa yeye kutulia na kula bata na familia yake kwa amani

Aachane na hii nchi ambayo watu wake hawajitambui
Mtawalaumu watz bure... wangefanyaje wakati tume ndo inaamua inavyotaka
 
Alijidau ohhh mimi siogopi kifo mbona katimua mbio bila hata kutishiwa na makofi eti nimetumiwa meseji za simu !!! Mbio Ubelgiji
Tanzania hakuna wapinzani wa ukweli hawa ni wapigania matumbo yao waweze kwenda chooni.
 
Lissu ni kiumbe kingine kabisa . Ni Nuru ya Tanzania, dhahabu ing'arayo, mwanga wa demokrasia, chimbuko la haki, chemichemi ya amani, faraja wa wadhulumiwao, na waridi wa maendeleo ya watu.
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…