Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #101
ππππMbona unaongea kwa kutumia nguvu nyingi hadi unajamba? π¨ π·
Kwahiyo Godbless Lema naye amevuka kwa ruhusa ya serikali ya Tz? na bado Lazaro Nyarandu naye mlimruhusu avuke border ila akaghairi yeye mwenyewe? Jinga kweli wewe.
Erythrocyte , hawa watu wanakera. As long as uchaguzi ulikwa na ubatili mkubwa usiomithirka, any thing from that uchaguzi ni batili. Simple haihitaji kwenda university kujua hilo!πππ
Badala ya kuipaisha Chadema kaishusha to Ground Zero
Kubwa jinga.Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji
View attachment 1624491View attachment 1624492
Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .
Marinda anayo?Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji
View attachment 1624491View attachment 1624492
Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .
Aiseeee !!!M/ Mungu ni mwema wakati wote.
Lissu kiongozi wangu tusemee huko, ulivyo tuacha umeona. Hali ni mbaya sana huku, tuliomkataa Shetan na kazi zake, tunawindwa.
Wivu wa kike tuWewe acha uongo. Ndiyo maana unaweka uzi na ku comment mwenyewe. Mnaanza kumpa sifa za uongo eti mgombea aliyeng'ara. Kupata 12% ndiyo kung'ara? Eti alisindikizwa na UN.
Uongo mtupu. Kwa taarifa yako hakuna UN wala balozi hata mmoja aliyemsindikiza. Unaowaita mabalozi ni maafisa wadogo sana.
Unajua kuna mijitu mingine sijui iko programmed? Akili ya jitu kama hilo inaizidi ile ya konokono kwa tofauti ndogo sana.Wanakera hawa pimbi.ππππ
Kwahiyo kwakuwa mama yako hana marinda unafikiri kila mtu hana eeeh?Marinda anayo?
True haina haja ya kuumia na kutesekea watu wajinga wasiojielewa,huyo ni wakili anaweza tulia akaendelea na mishe zake ili kila mtu apambane na hali yakeGood news. Huyu shujaa wetu sasa ni muda muafaka wa yeye kutulia na kula bata na familia yake kwa amani
Aachane na hii nchi ambayo watu wake hawajitambui
We jinga kweli kwani JK hakujenga barabara, vituo vya afya? Si ni wajibu wa serikali?Eti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura.
Kuhakikisha hilo alivyoshindwa uraisi akataka waingie barabarani maandamano bila kikomo wananchi wakakausha, alivyo na mkosi hata Robert Amsterdam baada ya uchaguzi kamtelekeza kaacha kutoa zile barua za mikwara.
Aliyekuja kuimaliza kabisa CHADEMA ni Lissu na tukiwaambia humu, mkakazania "NI YEYE", Vipi zile nyaraka alizokuwa anaandaa Amsterdam za kupeleka ICC ziko wapi?,.. Siku zote nasema humu Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO kichwani mwake. Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.
Kutoka kuwa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani hadi kuwa mkimbizi. Wabongo mnaona ukimbizi dili kutokana na maisha ya bongo, ila ulaya wakimbizi hasa wanaolishwa na serikali zao wanaonekana mafala tu, status ya Lissu huko hana tofauti na wakimbizi wa Somalia.
Kule anaonekana fala tu, story za Ni Yeye hawana habari nazo, Belgium wamejaa mafala kibao kama yeye kutoka Congo,Rwanda, Burundi nk wakisubiri ela ya kujikimu kila mwezi na ndo janja yao imefika mwisho. Huko game tough asikwambie mtu.
Bwege tu weweHakuna mtu aliyemtishia Lissu maisha yake.
Baada ya kushindwa uchaguzi ilikuwa lazima atengeneze drama ili kuwalaghai wafuasi wake kuwa analazimika kuondoka nchini.
Yeye sio mpinzani wa kwanza kugombea Urais na ni mpinzani runner up aliyepata mafanikio madogo kuliko wapinzani wote tangu nchi yetu ianze kuwa na chaguzi za vyama vingi.
Huna loloteKwani hatumjui huyu kamanda uchwara? Yaani Lisu alipokelewa na umati alipokuja Dar lakini siku ya kusepa hakuna cha Mbowe wala nani aliyemsindikiza. Kasambaratisha lichama lote la ufipa na kuwaacha makamanda kwenye mataa. Ni majonzi na huzuni hapo ufipa kwa sasa.
Tena kilio cha kukusanya kijiji.Sasa mbona unalia?
Ulitaka wabakie muwamalize? ivi nani asiejuwa ujambazi wenu? mngejificha angalau watoto wakasahau uharamia wenu! nyie si wa kunyanyua midomo wakati huu huku mkijuwa kwamba uchaguzi huu tumewaanika mbele ya uso wa dunia!Halafu manyumbu baada ya kichapo Cha shoga mwizi yapo hoi, mengine yameona maisha nje ya ubunge hayawezekani wamekuwa wakimbizi.
"Uoga ni dhambi mbaya kuliko zote"....lema.
naona chupi imekubana na imeoaEti Ni Yeye... Watanzania nawaaminia sana, mtu kakaa huko kakuta barabara, vituo vya afya kibao, ma fly over,reli na wananchi wanafurahia eti anawahubiria "Tunataka maendeleo ya watu sio vitu", wananchi wakamchekiiii wakamsubiri kwenye box la kura.
Kuhakikisha hilo alivyoshindwa uraisi akataka waingie barabarani maandamano bila kikomo wananchi wakakausha, alivyo na mkosi hata Robert Amsterdam baada ya uchaguzi kamtelekeza kaacha kutoa zile barua za mikwara.
Aliyekuja kuimaliza kabisa CHADEMA ni Lissu na tukiwaambia humu, mkakazania "NI YEYE", Vipi zile nyaraka alizokuwa anaandaa Amsterdam za kupeleka ICC ziko wapi?,.. Siku zote nasema humu Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO kichwani mwake. Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.
Kutoka kuwa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani hadi kuwa mkimbizi. Wabongo mnaona ukimbizi dili kutokana na maisha ya bongo, ila ulaya wakimbizi hasa wanaolishwa na serikali zao wanaonekana mafala tu, status ya Lissu huko hana tofauti na wakimbizi wa Somalia.
Kule anaonekana fala tu, story za Ni Yeye hawana habari nazo, Belgium wamejaa mafala kibao kama yeye kutoka Congo,Rwanda, Burundi nk wakisubiri ela ya kujikimu kila mwezi na ndo janja yao imefika mwisho. Huko game tough asikwambie mtu.
Siku alirudi CCM kama Lowassa ndio atayaoga matusi ya MakamandaMhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua , aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku akisindikizwa na mabalozi watatu, Balozi wa Marekani, wa Ujerumani na wa Ubelgiji
View attachment 1624491View attachment 1624492
Picha hizo ni za Zaventen Airport, Brussels Belgium alipowasili .