- Thread starter
- #21
Nje ya mada.Kimada wa mzungu huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya mada.Kimada wa mzungu huyo
Hahaha , Sawa MtikilaNapambania Mgombea BINAFSI, aruhusiwe Ili nami nisiye na chama, nigombee nafasi nitakayotaka!!
CCM nani aweza diriki kutamka hayo Kwa sasa hata kimafumbo tu?Ni jambo jema 😄
Kidume kimeunguruma Uchagani dadeki!
Shetani ameshawaepusha watanzania mbali tangu siku ile ya march 17/ 2021 alipomchukua shetani.Shetani tuepukie mbali huko
Tutashitakiwa MIGA, msaliti mkubwa
Shetani ameshawaepusha watanzania mbali tangu siku ile ya march 17/ 2021 alipomchukua shetani.
Sasa tu huru
Mungu ni mwema
Nabi gani asiyeheshimu sheria?17 March 2021, tuliondokewa na Nabii.
Ahsante Mungu Kwa zawadi ya Magufuli, Mzalendo.
Mimi na wewe wote tuko sahihi Kwa angle tofauti,Nabi gani asiyeheshimu sheria?
Unaiba uchaguzi kisha unaingiza wabunge haramu 19 bungeni?
Nabii anahojiwa kuhusu shule yake (PhD) kisha badala ya kujibu kwa hoja anaua watu (Ben sanane)
Nabii wa kuteka watu???
Tume huru na Katiba mpya ni kabla ya Uchaguzi wowote.Kwahiyo Lissu nae ameshasahau habari ya Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi?
Kazi ipo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Chadema wanasubiri mtu atayekatwa ccm!Salaam, Shalom!
Mh Tundu Lissu alipopewa nafasi kuzungumza katika msiba wa Askofu Kweka, ameeleza yafuatayo kumhusu Marehemu Askofu Kweka akiquote wasifu wake kuwa,
Marehemu Askofu Kweka alisoma chuo Cha chama pale Kivukoni mwaka 1969 katika masuala ya siasa na uongozi, hivyo aliyajua ipasavyo masuala ya siasa.
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa, Askofu Kweka,ndiye aliyehusika kumdokeza aingie katika ulingo wa siasa akiwa na miaka 29 tu, na aligombea Ubunge mwaka 1995, japo alishindwa.
Tangu hapo, Mh Tundu Lissu aliendelea na harakati za siasa na aligombea na kushinda ubunge, na mwaka 2020 alichukua fomu kupeperusha bendera ya chama chake Kwa nafasi ya mgombea Urais.
NB: Kwa kuwa Mh Tundu Lissu, hakukanusha kuwa HATOGOMBEA nafasi yoyote uchaguzi ujao, ni Imani yangu, Mh Tundu Lissu ametuma ujumbe kuwa atagombea uchaguzi ujao 2025 japo hakusema nafasi atakayogombea katika ya Udiwani, ubunge au Urais!!
CHADEMA,imeendelea kutuonyesha jinsi Gani imekomaa kisiasa, sababu Mh Lissu Ameyasema haya mbele ya Mh Mbowe na Lema wakiwa wanatabasamu.😀😀😀
Chanzo/Source: WANANCHI TV.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿,
Mungu ibariki CHADEMA.
Amen
"Tanzania ni dona kantri , tunajengea miladi na hela za ndani" alisikika raisi wa wanyonge wapumbavu mwisho wasiku alinyakuliwa na ka koronaShetani tuepukie mbali huko
Tutashitakiwa MIGA, msaliti mkubwa
Kipara bila akili nisawa tako ..sawa watachukua ChongoloChadema wanasubiri mtu atayekatwa ccm!
Watu wanalipia nauli kwenda uturuki!Kipara bila akili nisawa tako ..sawa watachukua Chongolo
Ni kweli lakini yule hakuwa mzalendo. Wazalendo hawaibi kura na hawafikiri badala ya wengine. Hakuwa nabii alikuwa mtu muovuMimi na wewe wote tuko sahihi Kwa angle tofauti,
Wewe umeamua kumtafsiri Kwa mabaya na mapungufu yake,
Mimi nimeamua kumtafsiri Kwa mazuri yake, Hasa sifa ya UZALENDO.
Ubarikiwe.
CHADEMA ni nyumba ya DEMOKRASIA.Lazima akutane na hasira za Mbowe. Lissu ajue sumu haionjwi.
UmeshatuaWatu wanalipia nauli kwenda uturuki!
Kwa upande wa UZALENDO apewe maua yake.Ni kweli lakini yule hakuwa mzalendo. Wazalendo hawaibi kura na hawafikiri badala ya wengine. Hakuwa nabii alikuwa mtu muovu
Unakumbuka Mbowe alivyomwambia Sumaye kuwa sumu haionjwi? Demokrasia ya CHADEMA ni takataka. Ukiutaka uenyekiti ni kama vile unataka ku-commit suicide.CHADEMA ni nyumba ya DEMOKRASIA.
Ya Ndugai huwezi yashuhudia kule.
Mnyika aliwahi kumwachia Jimbo Kubenea na Amani ikiendelea kama kawa,
Ukionyesha Kutia Nia Jimbo la Tulia, nk nk, unatafuta kupigwa kitu kizito.