Tundu Lissu azungumza kwenye msiba wa Askofu Kweka

Tundu Lissu azungumza kwenye msiba wa Askofu Kweka

Hapana kwa kweli, Lissu alisema tutashtakiwa kutokana na kuvunja sheria na tutadaiwa fidia kutokana na kumsababishia hasara kubwa mwekezaji

Magu akakataa akasema tupo sawa kwa sababu wamefanya udanganyifu wa kile kilichomo kwenye makinikia kwani kina thamani zaidi ya kile kinachotajwa

Wakatishia we lakini badala ya kujua kuwa wameyumba, wakaomba mazungumzo na wakalipa dola milioni 300 pia ikatumika sheria mpya ambayo serikali ikawa na uwakilishi ndani ya bodi na asilimia kadhaa katika kila uwekezaji katika maliasili ikiwemo hayo madini


Kuhusu sheria hiyo inafahamika ilisema kuwa migogoro yote isikilizwe katika mahakama za ndani, mpaka juzi hapa baada ya kuja dp world umeona sekeseke la kutaka sheria hiyo ibadilishwe na ikasikilizwe nje


Kuhusu hizo kesi unazosikia zilifunguliwa kabla ya sheria mpya na zile baada ya sheria mpya, waliakisi makubaliano waliyoyaingia wakati wanasaini mkataba

..magu alitakiwa yeye ndio akimbilie mahakamani.

..alisema tunawadai acacia usd 191 billion na ushahidi alikuwa nao.

..hakuna maelezo ya kutosha kuhalalisha kupokea usd 300 mil badala ya usd 191.

..magu pia aliahidi tutagawana 50/50 na barrick lakini akaja kusaini mkataba wa kupewa 16% of shares.

..je, hiyo 50/50 alikuwa akitudanganya? Tumeikosa vipi?

..mkataba wa mwisho ulisainiwa na barrick anaeleza kuwa migogoro itatatuliwa nje ya nchi. Magu alianza kuvunja sheria alizotunga mwenyewe.

..wakati Magu yuko hai, na Kabudi ni Waziri wa sheria, kulifunguliwa kesi zaidi ya 10 kutokana na serikali kuvunja mikataba au kufuta leseni za wawekezaji wa madini.

..mpaka sasa hivi tumeshindwa kesi 3. Hasara ni mabilioni. Tukiendelea kushindwa ktk kesi zilizobakia hasara itafika matrillioni.
 
Back
Top Bottom