Tundu Lissu azungumza kwenye msiba wa Askofu Kweka

Shetani tuepukie mbali huko

Tutashitakiwa MIGA, msaliti mkubwa
Shetani ameshawaepusha watanzania mbali tangu siku ile ya march 17/ 2021 alipomchukua shetani.
Sasa tu huru
Mungu ni mwema
 
Shetani ameshawaepusha watanzania mbali tangu siku ile ya march 17/ 2021 alipomchukua shetani.
Sasa tu huru
Mungu ni mwema

17 March 2021, tuliondokewa na Nabii.

Ahsante Mungu Kwa zawadi ya Magufuli, Mzalendo.
 
17 March 2021, tuliondokewa na Nabii.

Ahsante Mungu Kwa zawadi ya Magufuli, Mzalendo.
Nabi gani asiyeheshimu sheria?
Unaiba uchaguzi kisha unaingiza wabunge haramu 19 bungeni?
Nabii anahojiwa kuhusu shule yake (PhD) kisha badala ya kujibu kwa hoja anaua watu (Ben sanane)
Nabii wa kuteka watu???
 
Mimi na wewe wote tuko sahihi Kwa angle tofauti,

Wewe umeamua kumtafsiri Kwa mabaya na mapungufu yake,

Mimi nimeamua kumtafsiri Kwa mazuri yake, Hasa sifa ya UZALENDO.

Ubarikiwe.
 
Tundu mwanangu Tunduuu (makinda's tone)
 
Chadema wanasubiri mtu atayekatwa ccm!
 
Shetani tuepukie mbali huko

Tutashitakiwa MIGA, msaliti mkubwa
"Tanzania ni dona kantri , tunajengea miladi na hela za ndani" alisikika raisi wa wanyonge wapumbavu mwisho wasiku alinyakuliwa na ka korona
 
Mimi na wewe wote tuko sahihi Kwa angle tofauti,

Wewe umeamua kumtafsiri Kwa mabaya na mapungufu yake,

Mimi nimeamua kumtafsiri Kwa mazuri yake, Hasa sifa ya UZALENDO.

Ubarikiwe.
Ni kweli lakini yule hakuwa mzalendo. Wazalendo hawaibi kura na hawafikiri badala ya wengine. Hakuwa nabii alikuwa mtu muovu
 
Lazima akutane na hasira za Mbowe. Lissu ajue sumu haionjwi.
CHADEMA ni nyumba ya DEMOKRASIA.

Ya Ndugai huwezi yashuhudia kule.

Mnyika aliwahi kumwachia Jimbo Kubenea na Amani ikiendelea kama kawa,

Ukionyesha Kutia Nia Jimbo la Tulia, nk nk, unatafuta kupigwa kitu kizito.
 
Ni kweli lakini yule hakuwa mzalendo. Wazalendo hawaibi kura na hawafikiri badala ya wengine. Hakuwa nabii alikuwa mtu muovu
Kwa upande wa UZALENDO apewe maua yake.

Ndiye aliyeleta SHERIA ya Ulinzi wa Raslimali za Nchi,

Na ndo zimekwamisha Kwa kiasi Fulani aliyepo asiuze Kila kitu.

Mimi nachagua kusimama upande huo,

Wewe kaa upande unaamini.

Mwisho wa siku ndo DEMOKRASIA yenyewe.

Ubarikiwe.
 
CHADEMA ni nyumba ya DEMOKRASIA.

Ya Ndugai huwezi yashuhudia kule.

Mnyika aliwahi kumwachia Jimbo Kubenea na Amani ikiendelea kama kawa,

Ukionyesha Kutia Nia Jimbo la Tulia, nk nk, unatafuta kupigwa kitu kizito.
Unakumbuka Mbowe alivyomwambia Sumaye kuwa sumu haionjwi? Demokrasia ya CHADEMA ni takataka. Ukiutaka uenyekiti ni kama vile unataka ku-commit suicide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…