Tundu Lissu azungumza kwenye msiba wa Askofu Kweka

Unakumbuka Mbowe alivyomwambia Sumaye kuwa sumu haionjwi? Demokrasia ya CHADEMA ni takataka. Ukiutaka uenyekiti ni kama vile unataka ku-commit suicide.
Kwani sumaye Yu wapi saiz?

FISI Huwa hakabidhiwi bucha,

Mbowe Yuko sawa kabisa.
 
Kugombea agombee kwa sababu ndio mgombea anayeweza kuleta upinzani..lakini kwa nini umemlisha maneno?
 
Kwani ameshaandaa kaburi pale jimboni? Maana mbowe hatakubali kabisa lisu awe marufu
 
Huwezi kuwa robo ya Lissu wala nusu ya mwanachadema yeyote. Akili zako zinakutosha ukiwa na wapumbavu wenzio huko Lumumba.
Nyie mbumbumbu na malofa?

Heri nife kuliko kuwa chama Makamu wake ni kimada wa mzungu ( Dume Amsterdam)
 
Lissu anatumiwa na Wachagga bila ya yeye kujitambua aisee
 
Uzalendo gani? Sheria gani alizotungwa kulinda rasilimali zipi? Makampuni ya madini bado yanachimba wewe una weweseka ?
 
Kugombea agombee kwa sababu ndio mgombea anayeweza kuleta upinzani..lakini kwa nini umemlisha maneno?
Sijamlisha maneno, nimesoma btn the lines.

Ikiwa HATOGOMBEA, atakanusha. Hizo ndo siasa ndugu yangu.
 
Kwani sumaye Yu wapi saiz?

FISI Huwa hakabidhiwi bucha,

Mbowe Yuko sawa kabisa.
Mbowe hawezi kwenda kokote kwa sababu yeye ndo mmiliki wa CHADEMA. Ukisikia jina John Cheyo si moja kwa moja inakujia taswira ya UDP? Vyama vya upinzani ni kama haya makanisa ya kiroho yenye wamiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…