Tundu Lissu azungumza kwenye msiba wa Askofu Kweka

Ameeni
 
Mkuu fanyeni uchunguzi mjisafishe na uongo wake.
Maneno matupu hakun wa kuwaamini
 
Kuna chama Fulani, kinatamani 2025 kisiwepo chama chochote kitakachosimamisha mgombea, sijui HOFU Yao ni nini,

Tusubiri!!
Daah wako ladhi kuuza rasilimali zote za nchi ikiwa kuna beberu atawasaidia hili
 
Huyo jamaa ni mropokaji aliwahi sema tutashtakiwa MIGA na Barrick kisa makontena ya mchanga wa mgodini😂😂
 
Daah wako ladhi kuuza rasilimali zote za nchi ikiwa kuna beberu atawasaidia hili
una rasilimali gani zilizobaki ambazo hamjaziuza? au bado mdogo wewe huijui vizuri ccm. fikiria chama ambacho kiliamua KUUZA NYUMBA ZA UMMA KWA VIONGOZI TENA BAADA YA KUKARABATIWA NA PESA ZA UMMA. kisha serikali ikajenga nyingine za viongozi zile za mikocheni
hawa ndio walinda mali za umma kwa akili zako za kichawa?
 
….. fisadi papa, don wa …dengu, nafiki, jangili, tapeli, dikiteta, etc
wewe kweli chawa ndo mana unapenda kutaja mabaya ya viongozi wako hapo lumumba na kuwavisha wengine
fisadi ametajwa ukurasa wa ngapi kwenye ripoti ya CAG
Jangili kinana unae hapo lumumba
uchafu wote unao mpaka mkazaliwa nyie chawa kisha unawasingizia watu
unajisikiaje kujiita chawa mfano
 
Hahahaa.......wameshauza ardhi, mafuta na gesi, na juzi nimesikia wanauza Maji.

Bado hewa tu
 
Mbowe mbona anajulikana ni jizi, liliiba hela za ruzuku likaenda kuanzisha green house likafeli, likaenda kulima moro liliyemkabidhi kusimamia shamba akashindwa limbowe lika ratibu mauaji akakatwa mapanga akafa, chacha wangwe liliua hahahaha mr dj zero hahahaha, yaani sisi chawa hatumuacha mpaka siku afe kabisa tena ile kesi ya ugaidi ikirudi ahukumiwe kifo cha kunyongwa mpaka kufa maana alishangilia sana kifo cha dkt Magufuli
 
Huyo magufuli sasa yupo wapi wewe chawa? kuandika kwenyewe shida utamuweza mbowe wewe
unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki wewe
 
Huyo jamaa ni mropokaji aliwahi sema tutashtakiwa MIGA na Barrick kisa makontena ya mchanga wa mgodini😂😂

..mbona ni kweli tumeshtakiwa.

..hukumuona Prof.Mruma aliyeandika ripoti za makinikia akijinyea-nyea wakati akitoa ushahidi ktk mahakama ya kimataifa?

..na hukumu zimetoka tuwalipe mabeberu mabilioni.

..magufuli, Kabudi, na kilangi, ndio waliopotosha kuwa hatutashtakiwa.
 
Huyo magufuli sasa yupo wapi wewe chawa? kuandika kwenyewe shida utamuweza mbowe wewe
unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki wewe
Hahaha afadhali sisis tulishazoea ila nyie bado ngoma kibao zitaanguka hahahaha, kila kikidondoka kitu tutashangilia hahahaha mpaka mtaomba poooo
 
Issue ya Profesa Mruma ni tofauti kabisa na ya kusafirisha mchanga wa mgodini, ile ilitokea miaka hiyo ya nyuma
 
Issue ya Profesa Mruma ni tofauti kabisa na ya kusafirisha mchanga wa mgodini, ile ilitokea miaka hiyo ya nyuma

..hiyo ya kuzuia michango si baadae alikuja kuruhusu?

..na mkataba ambao Magufuli alisaini unaruhusu migogoro kusikilizwa na kuamuliwa ktk mahakama za kimataifa.

..Magufuli alitunga sheria kwa mbwembwe nyingi halafu yeye mwenyewe akazivunja.

..Mimi nahisi Barrick walimhonga.
 
Hapana kwa kweli, Lissu alisema tutashtakiwa kutokana na kuvunja sheria na tutadaiwa fidia kutokana na kumsababishia hasara kubwa mwekezaji

Magu akakataa akasema tupo sawa kwa sababu wamefanya udanganyifu wa kile kilichomo kwenye makinikia kwani kina thamani zaidi ya kile kinachotajwa

Wakatishia we lakini badala ya kujua kuwa wameyumba, wakaomba mazungumzo na wakalipa dola milioni 300 pia ikatumika sheria mpya ambayo serikali ikawa na uwakilishi ndani ya bodi na asilimia kadhaa katika kila uwekezaji katika maliasili ikiwemo hayo madini


Kuhusu sheria hiyo inafahamika ilisema kuwa migogoro yote isikilizwe katika mahakama za ndani, mpaka juzi hapa baada ya kuja dp world umeona sekeseke la kutaka sheria hiyo ibadilishwe na ikasikilizwe nje


Kuhusu hizo kesi unazosikia zilifunguliwa kabla ya sheria mpya na zile baada ya sheria mpya, waliakisi makubaliano waliyoyaingia wakati wanasaini mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…