Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kaelezea vizuri kuhusu mabeberu na ushoga. CCM watutajie mabeberu ni nani?Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye π―/π―!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Tundu Lissu hawezi kupingana na ushoga, mbona yeye hajajikita ktk mambo ya msingi bali kashupalia uwanja w ndege chato, mbuga ya wanyama burigi basi hana jipya
Mambo ya faraga kwa jambo halisi sio jambo hovyo la kuingiliana kinyume na maumbile huyu ni chizi tu.
Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye π―/π―!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Sasa akimkuta hiyo itakuwa faragha?Huyu na yeye si anao watoto wa kiume labda aulizwe siku akikuta njemba ipo kwenye kisogo cha dogo atapotezea na kuacha kuingilia faragha za mtoto wake au atalipuka?
Hakika nawaambia!! Kwa uwezo huu wa Lissu wa kujenga hoja na kuzielezea vizuri, Ninadhani Magu lazima amuogope Lissu zaidi ya anavyokiogopa Kifo.Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye π―/π―!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Huyu Jamaa Lissu ni KICHWA YAAN NI KICHWA .Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye [emoji817]/[emoji817]!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Unaona haya siyo ya msingi? Pungulukutu Lumumba wahed.bali kashupalia uwanja w ndege chato, mbuga ya wanyama burigi basi hana jipya
Kuna mtumishi mmoja wa Madhehebu ya kikristo, amesisitiza watu waachwe wawe huru kusema. Na ni kwa kuwaacha waseme itakuwa rahisi kuwatambua wajinga, waelevu, wapumbavu, wenye njaa, wahuni, na kadhalika.Wewe huna akili soma sheria vizuri siyo unaropoka unaelewa maana ya mambo ya faragha ni yale yote ambayo hayawezi kufanyika hadharani yote faragha katiba imekataza kuingiliwa
mbele ya Tundu Lissu nyie MATAGA wote mtampiga magoti kumsujudia kama mkombozi wenu.Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye π―/π―!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Nyani Ngabu akikaa vizuri ni mtu Mwenye akili sana Ndugu!!!Mkuu inaonesha harakati za Lissu unazielewa sana. Nilichoona kwenye thread yako mojawapo ni kwamba Guts za jamaa zinakushangaza, the same time unazipenda. Kusimama face to face na Magu kipindi hiki yataka moyo.
Yaani ukimsikiliza Lissu Kisha ukamsikiliza Magu unagundua tulivyo na rais wa ajabu sana ,Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye π―/π―!
Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.
Iachane na mambo ya faragha za watu.
Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
Wewe unakaa kwa shemaji huwezi jua Kama taifa tumepoteza bei gani kujenga uwanja wa kimataifa chatoTundu Lissu hawezi kupingana na ushoga, mbona yeye hajajikita ktk mambo ya msingi bali kashupalia uwanja wa ndege Chato, mbuga ya wanyama Burigi basi hana jipya
πππππ Mkuu umeua! Nimecheka hadi majirani wamekuja kuuliza kuna nini kwanguYaani ukimsikiliza Lissu Kisha ukamsikiliza Magu unagundua tulivyo na rais wa ajabu sana ,
Imeanzia kwenye katiba ambayo Magu aliapa kuilindaHaha hii sera imemkaa moyoni Lisu,
Anaipenda Sana.