Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

Status
Not open for further replies.
Kwani kulana denda hadharani hiyo ni faragha??? Unajua maana ya faragha????

Msimamo wake yeye kama yeye upo kama msimamo wa dini yake ulivyo. Anachukulia Kama ni dhambi!
Kwani nimekwambia kulana denda hadharani ni faragha?

Mbona mnakimbia ishu yenyewe na mnarukaruka kama vile hamjaelewa?

Linapozungumzwa suala la ushoga, watu hawaongelei mambo ya faragha, watu wanaongelea masuala yaliokuwa wazi kabisa. Kwani ushoga unakuwa faraghani tu?

Kuchukulia dhambi hio ni personal ishu, ishu kwenye suala la taifa, ataruhusu ndoa za jinsia moja ili kuwaridhisha "wahisani" na kufanya jambo la ushoga kuonekana ni jambo la kawaida tu?
 
Magufuli hatokaa amuweze Lissu kwa hoja, atatumia vyombo vya serikali kumzuia asigombee. Na hapo pia Lissu ana plan B na C

Ahhhhhh. Hata Gigy money humuwezi. Tz. Tunataka vitendo. Taarabu. Zipo tu. Sijui una kigezo cha kusema hoja. Mwanasayansi na mwana Art wapi na wapi.
 
Wanachotaka mabeberu wa Lissu si faragha, bali wanataka serikali kutambua ndoa za jinsia moja kitu ambacho serikali haipo tayari kufanya hivyo. Lissu aache kupotosha ukweli. Yeye ameshakuwa mtumwa wa mabeberu basi aendelee kuwasujudia.
 
Hapo pana tuhuma na sheria iko wazi.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye [emoji817]/[emoji817]!

Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.

Iachane na mambo ya faragha za watu.

Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.

Lazima utakua ni mleberali ww kwa hiyo isisimamie hata miiko ya utanzania
 
Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye [emoji817]/[emoji817]!

Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.

Iachane na mambo ya faragha za watu.

Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.

Unakubaliana nae kwa lini hasa?!

Vipi jambo la Faragha,likiwa lina matangazo na watu wanajua nini kinachofanyika?!
Vipi jamii ikianza kuathirika na hili mnalolitetea?!!

Faragha ina maana gani kwenu?!
Chief Nyani
 
Serikali ya Magufuli kupitia wizara ya fedha ilisemaje juu ya operesheni ya Makonda??
 
Unakubaliana nae kwa lini hasa?!

Vipi jambo la Faragha,likiwa lina matangazo na watu wanajua nini kinachofanyika?!
Vipi jamii ikianza kuathirika na hili mnalolitetea?!!

Faragha ina maana gani kwenu?!
Chief Nyani
Serikali ya Magufuli ilisemaje juu ya operesheni ya Makonda?
 
Kwa vipi?? Yaani Magufuli umlinganishe na dalali Lissu hebu kuweni serious
Haikubaliki kabisa.... Lissu ni Dalali wa manunuzi ya ndege na imekua siri no yeye na watoto wa dada ndo wenye hiyo siri kuu
 
Na ukiwa mbuzi jike ni mwendo wa kukojozwa tuuuu....
tukubaliane tuwanaotumia jina mabeberu hawajui wanalo ongelea kiasi kwamba hata kutaja nchi hawawezi. Ukisema beberu ukashidwa kuwataja basi wewe ni mbuzi jike
 
Kwani umewahi kuona kikao cha maharamia kama sio faragha ni nini
We jamaa ni kichwa chako kigumu kuchanganua majambo, hebu twende kwa mifano hai wewe na John mmekaa kikao chumbani mkapanga kwenda kufiranaaa loji na kweli mkaenda mkafiranaa mkamaliza yenu, halafu Mimi na bashite tukakaa kikao chumbani tukakubaliana tukavamie studio za clauz na kuwateka watangazaji wote na kweli tukaenda na kufanikisha zoezi letu, haya nambie kitendo cha kuvamia studio na kitendo cha kwenda loji kufiranaaa kipi ni faragha kati ya haya majambo mawili?
 
Wapi na lini serikali imesema haiko tayari mkuu...... Acha kutunga uongo
QUOTE="Maboso, post: 36457060, member: 126416"]
Wanachotaka mabeberu wa Lissu si faragha, bali wanataka serikali kutambua ndoa za jinsia moja kitu ambacho serikali haipo tayari kufanya hivyo. Lissu aache kupotosha ukweli. Yeye ameshakuwa mtumwa wa mabeberu basi aendelee kuwasujudia.
[/QUOTE]
 
Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye 💯/💯!

Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi.

Iachane na mambo ya faragha za watu.

Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.

mambo mengine yakijinga kabisa, kwani aliambiwa makonda atakuwa anapiga gesti kwa gesti akinusa matundu kama yamegongwa? huyu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…