Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Akirudi sijui atakuja kupayuka na nani maana ni mzee wa mihemko na uropokaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukiko Simba?Yanga ni bingwa
Siasa zinahitaji akili nyingi. Ukitumia mihemko zinkukosti heshima uliyonayo.Karibu sana Nyumbani Mh.Tundu Antipas Lissu
Siasa hizi …wakati Lissu anarudishwa nchini, Ndugu Humphrey Polepole anaondolewa Nchini
Mbona hivi tu ulivyoongea una sifa zote ulizotaja?Akirudi sijui atakuja kupayuka na nani maana ni mzee wa mihemko na uropokaji.
Anaufumua kweli kweliMama anaupiga mwingi.
Aibu ipi?Polisi wakike alitutilia aibu sana
Kama Mungu asingeamua tungekuwa tunaongea mengine kuhusu TAL since 17 September 2017Ni jambo jema
Kwahiyo na wewe Mungu ALIAMUA?
Yawezekana tulikosea kumlaumu Zitto Kabwe
Acha kumlinganisha Lissu na wapuuziNi jambo jema
Kwahiyo na wewe Mungu ALIAMUA?
Yawezekana tulikosea kumlaumu Zitto Kabwe
Polisi wakike alitutilia aibu sana
Huu mwelekeo ni salama kwa ajili ya mustakabali wa taifa la Tanzania. Hatuna haja kugombania fito.Salaam Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi
Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV
"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu niliyoyapata baada ya Juni 2019 hayo hayahusiki kwa sabbau nilikuwa nimefutiwa ubunge,"
"Kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa Tanzania, Mbunge ana haki ya kupata kiinua mgongo ambacho ni asilimia 40 ya mishahara yake kwa kipindi alichotumikia, pale Ubunge wake unapofikia ukomo iwe kwa kifo, kufukuzwa, kuachishwa, kujiuzulu,"
"Haya mafao yangu ya kisheria yalipaswa kulipwa Juni 29, 2019 nilipofutiwa ubunge na Job Ndugai, kama mnavyofahamu zama zile Mungu alikuwa hajaamua, kwahiyo nilinyimwa hayo mafao,"
"Rais @SuluhuSamia alipokuja Ubelgiji na nikapata fursa ya kuzungumza naye na kumuambia kwamba nisipolipwa mafao yangu sasa itakuwa ni kwa sababu yako, na akasema atalifanyia kazi, nimelipwa miezi kama miwili iliyopita.
"Leo Waziri Msauni amezungumza wale wote waliokimbia Tanzania kwa sababu za kisiasa warudi watakuwa salama, hiyo ni kauli ya serikali iliyotolewa Bungeni, hiyo ni hatua nzuri sana, sasa kitakachofanyika ni mimi na wenzangu kuandaa safari ya kurudi,"
Chanzo: EATVSaa1
Sijui ni kwa njia ipi, katika umri huu utaweza kujaliwa akili.Hana lolote huyo anakuja kulamba asali tu.
Mara, ooh sutarudi mpaka nihakikishiwe usalama wangu; ooh, sitarudi mpaka rais atoe tamko rasmi kunikaribisha; upuuzi mtupu. Sasa mbona ameamua kujikaribisha mwenyewe? Tukisema huyo jamaa yenu #dishlimetilt mkubali.
Hujaelewa maana ya kukusanya?Barua ya Gharama za matibabu mbona kachukua muda mrefu kuandika kulikoni?
Hela walizochangia wafadhili na wana Chadema kwenye matibabu yake zitajumlishwa au zitatolewa?
Nanusa harufu ya wizi kwenye hiyo barua na viambatanisho vyake
Kukusanya documents za matibabu kunachukua miezi.?Hujaelewa maana ya kukusanya?
All in all, dhalimu bora kaenda.Kukusanya documents za matibabu kunachukua miezi.?
Lisu alikutana na Raisi mwezi wa pili leo mwezi wa sita.
Kuna wakati alitamka mwenyewe kuwa anatibiwa kwa bima ya afya.
Lakini pia Freeman Mbowe alitamka kuwa wanachadema wanagharimia matibabu ya Tundu Lisu na walichangia mamilioni akiwa Nairobi pamoja na wafadhili wa ndani na nje
Hapa Lisu anataka kufoji documents kuna wizi unanukia ndio maana kachukua miezi kupanga forgery. Kwa mtu Honest isingemchukua hata siku mbili kuambatanisha viambatanishi
Hapo yeye na Mbowe wanataka kuibia serikali na wana Chadema na wafadhili.kwa kupitia double payment
Itawa cost credibility yao ndani ya chama na nje ya chama na kwa wafadhili.wa ndani na nje ya nchi
Kuna wizi unaandaliwa kwenye hiyo barua
Jinai huwa haifi ndio maana ipo siku isiyo na jina ni lazima tufukuwe kaburi la yule ibilisi mwendakuzimu aje kujibu ufashisti wake.Kukusanya documents za matibabu kunachukua miezi.?
Lisu alikutana na Raisi mwezi wa pili leo mwezi wa sita.
Kuna wakati alitamka mwenyewe kuwa anatibiwa kwa bima ya afya.
Lakini pia Freeman Mbowe alitamka kuwa wanachadema wanagharimia matibabu ya Tundu Lisu na walichangia mamilioni akiwa Nairobi pamoja na wafadhili wa ndani na nje
Hapa Lisu anataka kufoji documents kuna wizi unanukia ndio maana kachukua miezi kupanga forgery. Kwa mtu Honest isingemchukua hata siku mbili kuambatanisha viambatanishi
Hapo yeye na Mbowe wanataka kuibia serikali na wana Chadema na wafadhili.kwa kupitia double payment
Itawa cost credibility yao ndani ya chama na nje ya chama na kwa wafadhili.wa ndani na nje ya nchi
Kuna wizi unaandaliwa kwenye hiyo barua
Wewe hujui kuwa CCM ndiyo kinara wa vibaka hapa nchini?Kukusanya documents za matibabu kunachukua miezi.?
Lisu alikutana na Raisi mwezi wa pili leo mwezi wa sita.
Kuna wakati alitamka mwenyewe kuwa anatibiwa kwa bima ya afya.
Lakini pia Freeman Mbowe alitamka kuwa wanachadema wanagharimia matibabu ya Tundu Lisu na walichangia mamilioni akiwa Nairobi pamoja na wafadhili wa ndani na nje
Hapa Lisu anataka kufoji documents kuna wizi unanukia ndio maana kachukua miezi kupanga forgery. Kwa mtu Honest isingemchukua hata siku mbili kuambatanisha viambatanishi
Hapo yeye na Mbowe wanataka kuibia serikali na wana Chadema na wafadhili.kwa kupitia double payment
Itawa cost credibility yao ndani ya chama na nje ya chama na kwa wafadhili.wa ndani na nje ya nchi
Kuna wizi unaandaliwa kwenye hiyo barua
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante mama kwa kuturudishia umoja wa kitaifa
Nchi yetu, taifa letu
Wenye masikitiko, kaburi liko pale Chato wanaweza kubuku nafasi walazwe na malaika wao.