Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

Kama ni kuwashughulikia wanasiasa wakorofi huyo Magufuli hakufanya hata robo ya kilichofanywa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere

Kama Oscer Kambona na mzanzibari Abdulahman Baby walirudi hao akina Tundu Lisu, Lema na Wenje watakuwa na Jipya gani?

Kama Dr Slaa na Prof Lipumba walirudi baada ya kukimbilia Canada na Rwanda huyo Tundu Lisu ana maajabu gani?

Watanzania chapeni Kazi Putin hasomeki hadi sasa.
 
Huyu mwamba ana mitego sana. Nisipolipwa itakuwa sababu yako. Kwa maana walioninyima hawapo wewe ndio mwenye kijiti na unaweza kuamua nilipwe. Maana yake nisipolipwa na wewe unakua miongoni mwao😅😅😅
Lissu ni muwazi,mkweli na mvumilivu,hujenga hoja kwa ushahidi.
Ajabu moja ya Lissu hata kama adui yake ameongea jambo la haki kisheria huwa anamuunga mkono bila kujali itikadi zao.
 
Lissu namkubali lakini issue ya kurudi Tz imekuwa wimbo wa muda mrefu sn mpk tumeuchoka, CHADEMA wamuwekee ulinzi basi
 
Hana lolote huyo anakuja kulamba asali tu.
Mara, ooh sutarudi mpaka nihakikishiwe usalama wangu; ooh, sitarudi mpaka rais atoe tamko rasmi kunikaribisha; upuuzi mtupu. Sasa mbona ameamua kujikaribisha mwenyewe? Tukisema huyo jamaa yenu #dishlimetilt mkubali.
Ukiwa na moyo huu utapata tabu sana, maana 2035 sio karibu.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Kama ni kuwashughulikia wanasiasa wakorofi huyo Magufuli hakufanya hata robo ya kilichofanywa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere

Kama Oscer Kambona na mzanzibari Abdulahman Baby walirudi hao akina Tundu Lisu, Lema na Wenje watakuwa na Jipya gani?

Kama Dr Slaa na Prof Lipumba walirudi baada ya kukimbilia Canada na Rwanda huyo Tundu Lisu ana maajabu gani?

Watanzania chapeni Kazi Putin hasomeki hadi sasa.
Wewe jamaa mpumbavu sana. Sijui kwa nini mods wanaacha unaandika ujinga wako hapa.
 
Hana lolote huyo anakuja kulamba asali tu.
Mara, ooh sutarudi mpaka nihakikishiwe usalama wangu; ooh, sitarudi mpaka rais atoe tamko rasmi kunikaribisha; upuuzi mtupu. Sasa mbona ameamua kujikaribisha mwenyewe? Tukisema huyo jamaa yenu #dishlimetilt mkubali.
Sisi tunachojua wewe unapata mkate wako wa siku Kwa kufokolewa
 
Oyoooooooooo!! Karibu sana kamanda mpiganaji, mwana wa mungu, ambaye kila anayekudhulumu anaaibika (Kama Ndugai) ama anakufa (Kama Jiwe).

Jiwe huko aliko aongezewe ukali wa moto unaomuubguza, shetwani mwanaharamu huyu.

Karibu sana mwanasheria msomi
Moto unaoungua hapa duniani kwa kuchapwa na maisha ni bora wa huyo jiwe.

Mpaka jinsia yako huna uhakika nayo sio jambo dogo hili.
 
Salaam Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi

Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV

"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu niliyoyapata baada ya Juni 2019 hayo hayahusiki kwa sabbau nilikuwa nimefutiwa ubunge,"

"Kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa Tanzania, Mbunge ana haki ya kupata kiinua mgongo ambacho ni asilimia 40 ya mishahara yake kwa kipindi alichotumikia, pale Ubunge wake unapofikia ukomo iwe kwa kifo, kufukuzwa, kuachishwa, kujiuzulu,"

"Haya mafao yangu ya kisheria yalipaswa kulipwa Juni 29, 2019 nilipofutiwa ubunge na Job Ndugai, kama mnavyofahamu zama zile Mungu alikuwa hajaamua, kwahiyo nilinyimwa hayo mafao,"

"Rais @SuluhuSamia alipokuja Ubelgiji na nikapata fursa ya kuzungumza naye na kumuambia kwamba nisipolipwa mafao yangu sasa itakuwa ni kwa sababu yako, na akasema atalifanyia kazi, nimelipwa miezi kama miwili iliyopita.

"Leo Waziri Msauni amezungumza wale wote waliokimbia Tanzania kwa sababu za kisiasa warudi watakuwa salama, hiyo ni kauli ya serikali iliyotolewa Bungeni, hiyo ni hatua nzuri sana, sasa kitakachofanyika ni mimi na wenzangu kuandaa safari ya kurudi,"

Chanzo: EATVSaa1
Ni waislaam wachache sana wanaodhulumu wengine, Sisi wakristo ni shida tupu.
 
nikisikia jina la tundu lisu tu huwa nakumbuka ule mstari kwenye kitabu cha Dr.Slaa, ambao Tundu Lisu alitoa ushauri kwa viongozi wa chadema kwamba waingie mkataba na shetani kwa garama yeyote ile alimradi tu wachukue nchi. garama yeyote kwa shetani tujuavyo sisi, shetani kazi yake ni kuua kuchinja na kuharibu. manake hata kwa damu za watanzania, alimradi tu apate cheo. sishangai, kwasababu hii ndio ilivyo dunia nzima, hata ulaya marais hao wote huwa na mikataba na shetani, wanaoperate kishetani, na wamejikabidhi kwa shetani.

hivi itamfaa nini mtu kuuupata ulimwengu huu wote, na anasa zake, na pesa zake, na vyeo vyake vyote, lakini mwisho wa siku nafsi yake ikaangamia jehanum ya moto milele na milele? duniani tunapita tu, wenyeji wetu ni mbinguni. watanzania tuwe macho sana.
 
Inshu ya tundu kuludi kuna mchezo mama wa unguja kacheza ili asionekane vibaya na wafuasi wa jiwe. Kubaki ulaya licha ya kukutana na hangaya ni mipango waliongea pamoja ionekane tundu bado ana hofu. Lakini kiukweli hakuna sababu yoyote ya chiba kuogopa kuludi Tanzania.
Anazingua tu, kwani alivyo kuja kugombea urais nanj alimuhakikishia usalamawake.
Mbona alitembea nchi nzima nahakusumbuliwa.
Jamaa linapenda sifa na tension za burebure.
Kama anataka spacial security asubiri 2025 akigombea urais akishinda atapata ulinzi maalum kama raisi,vinginevyo yeye nisawa na Zito kabwe tu.
 
Ilmaradi akirudi asianze kumtukana na kumsema vibaya hayati JPM
 
Back
Top Bottom