Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

Achali achali achali ya nyuki chio achali ya malimau
 
Huu mwelekeo ni salama kwa ajili ya mustakabali wa taifa la Tanzania. Hatuna haja kugombania fito.
 
Hana lolote huyo anakuja kulamba asali tu.
Mara, ooh sutarudi mpaka nihakikishiwe usalama wangu; ooh, sitarudi mpaka rais atoe tamko rasmi kunikaribisha; upuuzi mtupu. Sasa mbona ameamua kujikaribisha mwenyewe? Tukisema huyo jamaa yenu #dishlimetilt mkubali.
 
Barua ya Gharama za matibabu mbona kachukua muda mrefu kuandika kulikoni?
Hela walizochangia wafadhili na wana Chadema kwenye matibabu yake zitajumlishwa au zitatolewa?

Nanusa harufu ya wizi kwenye hiyo barua na viambatanisho vyake
 
Sijui ni kwa njia ipi, katika umri huu utaweza kujaliwa akili.
 
Barua ya Gharama za matibabu mbona kachukua muda mrefu kuandika kulikoni?
Hela walizochangia wafadhili na wana Chadema kwenye matibabu yake zitajumlishwa au zitatolewa?

Nanusa harufu ya wizi kwenye hiyo barua na viambatanisho vyake
Hujaelewa maana ya kukusanya?
 
Hujaelewa maana ya kukusanya?
Kukusanya documents za matibabu kunachukua miezi.?

Lisu alikutana na Raisi mwezi wa pili leo mwezi wa sita.
Kuna wakati alitamka mwenyewe kuwa anatibiwa kwa bima ya afya.

Lakini pia Freeman Mbowe alitamka kuwa wanachadema wanagharimia matibabu ya Tundu Lisu na walichangia mamilioni akiwa Nairobi pamoja na wafadhili wa ndani na nje

Hapa Lisu anataka kufoji documents kuna wizi unanukia ndio maana kachukua miezi kupanga forgery. Kwa mtu Honest isingemchukua hata siku mbili kuambatanisha viambatanishi

Hapo yeye na Mbowe wanataka kuibia serikali na wana Chadema na wafadhili.kwa kupitia double payment

Itawa cost credibility yao ndani ya chama na nje ya chama na kwa wafadhili.wa ndani na nje ya nchi

Kuna wizi unaandaliwa kwenye hiyo barua
 
All in all, dhalimu bora kaenda.
 
Jinai huwa haifi ndio maana ipo siku isiyo na jina ni lazima tufukuwe kaburi la yule ibilisi mwendakuzimu aje kujibu ufashisti wake.

Haki za Lisu hata kama zimechelewa ni haki zake, Serikali haifanyi kazi kwa umbea wanafanyakazi kwa documents na kumbukumbu zipo kwamba Lisu amedhulumiwa haki ya matibabu kinachofanyika ni "Refund"

Utakuwa huna akili kumfananisha Lisu na Hans Kitine aliyefoji invoice ya matibabu ya mke wake Canada.

Kitine ni ccm, wizi upo kwenye damu.
 
Wewe hujui kuwa CCM ndiyo kinara wa vibaka hapa nchini?

Refer Waziri wa Sanaa na Michezo amelitaka Bunge liidhinishe shilingi bilioni 10, Ili zikarabati viwanja vyao vya CCM

Utawezaje kuwa na wabunge wasio na chama, kama Katiba ya nchi inavyotaka?🥺
 
Ahsante mama kwa kuturudishia umoja wa kitaifa

Nchi yetu, taifa letu

Wenye masikitiko, kaburi liko pale Chato wanaweza kubuku nafasi walazwe na malaika wao.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…