johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lissu ni muwazi,mkweli na mvumilivu,hujenga hoja kwa ushahidi.Huyu mwamba ana mitego sana. Nisipolipwa itakuwa sababu yako. Kwa maana walioninyima hawapo wewe ndio mwenye kijiti na unaweza kuamua nilipwe. Maana yake nisipolipwa na wewe unakua miongoni mwao😅😅😅
Aisee kukbe vunja bei anakula ile chombo ya kisarawe ya hayati mwenda zake?Ni jambo jema
Kwahiyo na wewe Mungu ALIAMUA?
Yawezekana tulikosea kumlaumu Zitto Kabwe
Cha ajabu nini?Aisee kukbe vunja bei anakula ile chombo ya kisarawe ya hayati mwenda zake?
Ukiwa na moyo huu utapata tabu sana, maana 2035 sio karibu.Hana lolote huyo anakuja kulamba asali tu.
Mara, ooh sutarudi mpaka nihakikishiwe usalama wangu; ooh, sitarudi mpaka rais atoe tamko rasmi kunikaribisha; upuuzi mtupu. Sasa mbona ameamua kujikaribisha mwenyewe? Tukisema huyo jamaa yenu #dishlimetilt mkubali.
Kayafa alaamiwe popote alipoNi jambo jema
Kwahiyo na wewe Mungu ALIAMUA?
Yawezekana tulikosea kumlaumu Zitto Kabwe
Wewe jamaa mpumbavu sana. Sijui kwa nini mods wanaacha unaandika ujinga wako hapa.Kama ni kuwashughulikia wanasiasa wakorofi huyo Magufuli hakufanya hata robo ya kilichofanywa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere
Kama Oscer Kambona na mzanzibari Abdulahman Baby walirudi hao akina Tundu Lisu, Lema na Wenje watakuwa na Jipya gani?
Kama Dr Slaa na Prof Lipumba walirudi baada ya kukimbilia Canada na Rwanda huyo Tundu Lisu ana maajabu gani?
Watanzania chapeni Kazi Putin hasomeki hadi sasa.
Huyu hatujamuweka lakini.Ndio maana nawapenda wanawake. Japo sio wote lakini wanawake Mungu awape kheri duniani.
Mwakani tena tuweke mwanamke
Mods wanapata burudani watu wakitukanana humuWewe jamaa mpumbavu sana. Sijui kwa nini mods wanaacha unaandika ujinga wako hapa.
Mfuasi wa mpayukaji sitarajii jibu tofauti.Mbona hivi tu ulivyoongea una sifa zote ulizotaja?
Haha wahuni sio watuKaribu sana Nyumbani Mh.Tundu Antipas Lissu
Siasa hizi …wakati Lissu anarudishwa nchini, Ndugu Humphrey Polepole anaondolewa Nchini
Sisi tunachojua wewe unapata mkate wako wa siku Kwa kufokolewaHana lolote huyo anakuja kulamba asali tu.
Mara, ooh sutarudi mpaka nihakikishiwe usalama wangu; ooh, sitarudi mpaka rais atoe tamko rasmi kunikaribisha; upuuzi mtupu. Sasa mbona ameamua kujikaribisha mwenyewe? Tukisema huyo jamaa yenu #dishlimetilt mkubali.
Mwanaume anayeingiliwa kinyume cha maumbile haaezi kuwa na akili nzuriSijui ni kwa njia ipi, katika umri huu utaweza kujaliwa akili.
Moto unaoungua hapa duniani kwa kuchapwa na maisha ni bora wa huyo jiwe.Oyoooooooooo!! Karibu sana kamanda mpiganaji, mwana wa mungu, ambaye kila anayekudhulumu anaaibika (Kama Ndugai) ama anakufa (Kama Jiwe).
Jiwe huko aliko aongezewe ukali wa moto unaomuubguza, shetwani mwanaharamu huyu.
Karibu sana mwanasheria msomi
Ni waislaam wachache sana wanaodhulumu wengine, Sisi wakristo ni shida tupu.Salaam Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi
Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV
"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu niliyoyapata baada ya Juni 2019 hayo hayahusiki kwa sabbau nilikuwa nimefutiwa ubunge,"
"Kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa Tanzania, Mbunge ana haki ya kupata kiinua mgongo ambacho ni asilimia 40 ya mishahara yake kwa kipindi alichotumikia, pale Ubunge wake unapofikia ukomo iwe kwa kifo, kufukuzwa, kuachishwa, kujiuzulu,"
"Haya mafao yangu ya kisheria yalipaswa kulipwa Juni 29, 2019 nilipofutiwa ubunge na Job Ndugai, kama mnavyofahamu zama zile Mungu alikuwa hajaamua, kwahiyo nilinyimwa hayo mafao,"
"Rais @SuluhuSamia alipokuja Ubelgiji na nikapata fursa ya kuzungumza naye na kumuambia kwamba nisipolipwa mafao yangu sasa itakuwa ni kwa sababu yako, na akasema atalifanyia kazi, nimelipwa miezi kama miwili iliyopita.
"Leo Waziri Msauni amezungumza wale wote waliokimbia Tanzania kwa sababu za kisiasa warudi watakuwa salama, hiyo ni kauli ya serikali iliyotolewa Bungeni, hiyo ni hatua nzuri sana, sasa kitakachofanyika ni mimi na wenzangu kuandaa safari ya kurudi,"
Chanzo: EATVSaa1
Hii post inachoma sanaNi waislaam wachache sana wanaodhulumu wengine, Sisi wakristo ni shida tupu.
nikisikia jina la tundu lisu tu huwa nakumbuka ule mstari kwenye kitabu cha Dr.Slaa, ambao Tundu Lisu alitoa ushauri kwa viongozi wa chadema kwamba waingie mkataba na shetani kwa garama yeyote ile alimradi tu wachukue nchi. garama yeyote kwa shetani tujuavyo sisi, shetani kazi yake ni kuua kuchinja na kuharibu. manake hata kwa damu za watanzania, alimradi tu apate cheo. sishangai, kwasababu hii ndio ilivyo dunia nzima, hata ulaya marais hao wote huwa na mikataba na shetani, wanaoperate kishetani, na wamejikabidhi kwa shetani.Salaam Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi
Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV
"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu niliyoyapata baada ya Juni 2019 hayo hayahusiki kwa sabbau nilikuwa nimefutiwa ubunge,"
"Kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa Tanzania, Mbunge ana haki ya kupata kiinua mgongo ambacho ni asilimia 40 ya mishahara yake kwa kipindi alichotumikia, pale Ubunge wake unapofikia ukomo iwe kwa kifo, kufukuzwa, kuachishwa, kujiuzulu,"
"Haya mafao yangu ya kisheria yalipaswa kulipwa Juni 29, 2019 nilipofutiwa ubunge na Job Ndugai, kama mnavyofahamu zama zile Mungu alikuwa hajaamua, kwahiyo nilinyimwa hayo mafao,"
"Rais @SuluhuSamia alipokuja Ubelgiji na nikapata fursa ya kuzungumza naye na kumuambia kwamba nisipolipwa mafao yangu sasa itakuwa ni kwa sababu yako, na akasema atalifanyia kazi, nimelipwa miezi kama miwili iliyopita.
"Leo Waziri Msauni amezungumza wale wote waliokimbia Tanzania kwa sababu za kisiasa warudi watakuwa salama, hiyo ni kauli ya serikali iliyotolewa Bungeni, hiyo ni hatua nzuri sana, sasa kitakachofanyika ni mimi na wenzangu kuandaa safari ya kurudi,"
Chanzo: EATVSaa1
Anazingua tu, kwani alivyo kuja kugombea urais nanj alimuhakikishia usalamawake.Inshu ya tundu kuludi kuna mchezo mama wa unguja kacheza ili asionekane vibaya na wafuasi wa jiwe. Kubaki ulaya licha ya kukutana na hangaya ni mipango waliongea pamoja ionekane tundu bado ana hofu. Lakini kiukweli hakuna sababu yoyote ya chiba kuogopa kuludi Tanzania.