Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

Sijawahi ipenda nchi yangu baada ya Nyerere kama kipindi hiki cha Samia.

 
Lamba asali na wewe kama una maana yoyote ndani ya ccm.
 
Lissu amekuwa kama yule masihi....kila mara anasema narudi lakini hatokei...haya CDM endeleeni kusubiri...atarudi
 
Toka mwaka jana wanasema watarudi lakini hawarudi wanachosha.Waje tu kimyakimya.
 
Ameingia kwa neema ya Mungu
Huwa mnakusudia Mungu gani? Maana utasikia mara Lowasa ni mpango wa Mungu mara Lissu ni mpango wa Mungu ila matokeo hujatofauti, ndio najiuliza huyo Mungu wa aina gani asiyefanikiwa mipango yake?
 
Huwa mnakusudia Mungu gani? Maana utasikia mara Lowasa ni mpango wa Mungu mara Lissu ni mpango wa Mungu ila matokeo hujatofauti, ndio najiuliza huyo Mungu wa aina gani asiyefanikiwa mipango yake?
Utajua hujui
 
Lipi jipya toka kwa Lissu kwa watanzania?

Si huyu ndie tulikuwa naye hapa majuzi kwenye uchaguzi 2020?

Si huyuhuyu aliekuwa akila mishikaki barabarani na kudandia Mwendokasi eti anasalimia wananchi?

Si huyuhuyu tunaekesha nae huko Club House na Sarungi Spaces?

Tofauti moja ni kwamba safari hii anakuja akiwa kishapokea mkwanja wake toka kwa Samia.

Same whiskey in... A new Bottle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…