MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Analilia masikini,makabwela,watumwa,watwana nyie mabepari na madikteta ni wakati wenu ilatime will tell,mungu si athumani tukiomba ufe kwa manufaa ya wengi utakufa tu,huwezi kuwatesa wengi kwa faida ya wachache tena wachache ni familia moja na ukoo mmoja,mtaangamizwa na yehova,ili wengi wabaki salama,kwa siku zilizosalia kwaresma ni kumuombea sisonje apotee ktk sura ya dunia akaungane na MALAIKA wabaya
Tumenunu Bombadia, na Air Bus ipo njianiMpaka sasa ni asilimia 30 tu ya bajeti ndiyo imetolewa,asilimia 70,haijapelekwa kunakotakiwa.
Japo ndio inayolipa kodi kubwa kuliko sekta nyingine zoteNdiyo. Si unaona vingine vimepigwa marufuku. Hakuna viroba sasa hivi. SAFI
NAOMBA WAINGIA KWENYE BIA NAZO WAZIPIGE MARUFUKU TU NA SIGARA PIA. NITAFURAHI SANA HIV NAVYO VIKIPIGWA MARUFUKU
TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?
Bia ni kitu ambacho hakiwezekani... labda waoige marufuku aina ya bia.... ukipiga marufuku bia.. akina TBL lazima wafunge kiwanda...Ndiyo. Si unaona vingine vimepigwa marufuku. Hakuna viroba sasa hivi. SAFI
NAOMBA WAINGIA KWENYE BIA NAZO WAZIPIGE MARUFUKU TU NA SIGARA PIA. NITAFURAHI SANA HIV NAVYO VIKIPIGWA MARUFUKU
TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?
Wewe ni zaidi ya waliofoji vyeti fanya kutembelea majimbo ya wanaojitambua hawasubiri serikali inajazia yaliyo pungua tuKwani mbunge ndiye anayejenga barabara na kusaidia wenye njaa? mbunge ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo alilochaguliwa bungeni, suala la barabara na chakula ni la serikali na ndio maana walisema wao ndo wenye mamlaka ya kutangaza njaa sio mbunge.
Hiyo 70% itapelekwa mwezi ujao, na hapo ndo watumishi wa serikali huwa tunapiga hela kishenzi maana wanataka tukamilishe bajeti ya mwaka mzima ndani ya miezi miwili. Hapo sasa tunapanga vikazi vya kijinga kijinga ili tumalize bajeti!! Nchi hii bado sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!Mpaka sasa ni asilimia 30 tu ya bajeti ndiyo imetolewa,asilimia 70,haijapelekwa kunakotakiwa.
Yaani katika shilingi 100,imepelekwa shilingi 30,shilingi 70 haijulikani kama itapelekwa.
Hii ni chini kabisa ya wastani,kwa maana hiyo,ili bajeti ya 2016/2017 itekelezwe,nchi itahitaji miaka miwili mingine mbele tena na robo,kwa kuwa 2016/2017 wamefanya kwa asilimia 30,2017/2018,watafanya asilimia 30 ingine,na 2018/2019 watafanya asilimia nyingine 30(jumla inakuwa asilimia 90,
Inabaki asilimia kumi.
Kwa misingi hiyo,nchi hii itaendelea kuhangaika na bajeti moja kwa miaka karibu mitatu
Huku ni kufeli kwa hali ya juu
Ukweli unauma ktk majimbo yaliyofeli ikungi ni mojawapoPoor analsis
CHATOHivi pesa ya kulipia ndege tena cash ilitoka wapi??
Majimbo ya waliojitambua ndio yapi?Wewe ni zaidi ya waliofoji vyeti fanya kutembelea majimbo ya wanaojitambua hawasubiri serikali inajazia yaliyo pungua tu
Sasa aliesema uchumi unakuwa si serikali yenu ya Kibashite? Ya Nini kudanganya? Tatizo maccm uelewa wenu ni chini sana,kuelewa ni shida!Uchumi hauwezi kubadilika kwa usiku mmoja huyu TL aache makelele yake yasiyo na tija.Kama yeye anaweza kufanya uchumi ubadilike overnight aende akafanye hivyo kwa wapiga kura wake tuone.
+/- deviation mbona kubwa mno?Bajeti ni makadirio sio kitu Halisi hivyo yaweza kuwa +/- hivyo hakuna kitu kinaitwa bajeti kufeli. Pima thamani ya kazi iliyofanyika fananisha na ya miaka mingine
Endeleeni kuipiga Kelele serikali wakati mbunge anatakiwa awe kichocheo cha maendeleo yeye anakataza wananchi kuchangia shuguli za maendeleo wanae wanasoma shule nzuri yeye yuko dar!Huko hakuna idara ya ujenzi ya serikali ya jamhuri ya muungano WA Tanzania inayoongozwa na CCM? Mnungewsi kazi yake kujenga barabara, bali kuipigia kelele serikali itimize majukumu yake. Bahati mbaya serikali yenyewe YA MAGUFULI ndiyo hiyo imeshafeli.