Ramadhani Juma Abdallah
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 390
- 230
Ni mbunge wa ikungi na mtetezi wa wauza ngada hatumtambui sisi walala hoiLisu ni namba ya kitaifa.nguli wa sheria na amewanyoosha sasa sheria zinafuatwa maana mlizidi kuonea wananchi. Yaani kwa kifupi wanafaidika wananchi wote
Kweli tumuombe afe au???Niombeeni-By JPM
Mpaka sasa ni asilimia 30 tu ya bajeti ndiyo imetolewa,asilimia 70,haijapelekwa kunakotakiwa.
Yaani katika shilingi 100,imepelekwa shilingi 30,shilingi 70 haijulikani kama itapelekwa.
Hii ni chini kabisa ya wastani,kwa maana hiyo,ili bajeti ya 2016/2017 itekelezwe,nchi itahitaji miaka miwili mingine mbele tena na robo,kwa kuwa 2016/2017 wamefanya kwa asilimia 30,2017/2018,watafanya asilimia 30 ingine,na 2018/2019 watafanya asilimia nyingine 30(jumla inakuwa asilimia 90,
Inabaki asilimia kumi.
Kwa misingi hiyo,nchi hii itaendelea kuhangaika na bajeti moja kwa miaka karibu mitatu
Huku ni kufeli kwa hali ya juu
Mwanza uchumi umekufa!
No business at all!
Wenyeji kwa wageni wanatizamana pua tu!
Mkuu:Amesema kweli kabisa,haiwezekani matrilioni yote yale ambayo yalikua yanakusanywa leo hii bajeti iwe hiyo.Hakika nazidi kuamini kua huyu mkuu wa nchi atakua amekuja rasmi kuiua serikali ya chama chake kwani 2020 atapata shida sana kuingia tena ikulu,na dalili zinaonyesha ni one term president.Na inatakiwa ijulikane kua katika kipindi hiki cha kidijitali habari mbaya na nzuri hukaa muda mrefu,na watu wakisahau yanayofanyika saa hizi nirahisi kukumbushwa kupitulia video na audio mbalimbali.
Naamini bajeti ya ruzuku ndani ya CDM inatumika ipasavyo ndio maana hazungumzii suala hilo.Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani
Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane kuliko hata mwazoni
Akaziungumzia bajeti amedai kati ya bajeti ya trilioni 29 ambazo 11 ni za fedha za maendeleo imepelekwa trilioni 3 tu,
Katika fedha za matumizi ya kawaida, Halmasahauri zimepata fedha kidogo kuliko miaka yote,
Amesema takwimu za makusanyo ya matrilioni niza uongo, kwani zingekuwa za kweli fedha zingeonekana katika miradi ya maendeleo , matumizi ya serikali na ajira
Tundu lIssu amesema pia yeye ni wakili na mawakili kwa sasa hivi kazi kubwakwa sasa hivi ni kufunga makampuni kitu kinachoonyesha biashara nyingi zinafungwa
Bombardier na Dreamliner zimemeza ngapi na kulipa madeni ya ndani na njeMbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani
Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane kuliko hata mwazoni
Akaziungumzia bajeti amedai kati ya bajeti ya trilioni 29 ambazo 11 ni za fedha za maendeleo imepelekwa trilioni 3 tu,
Katika fedha za matumizi ya kawaida, Halmasahauri zimepata fedha kidogo kuliko miaka yote,
Amesema takwimu za makusanyo ya matrilioni niza uongo, kwani zingekuwa za kweli fedha zingeonekana katika miradi ya maendeleo , matumizi ya serikali na ajira
Tundu lIssu amesema pia yeye ni wakili na mawakili kwa sasa hivi kazi kubwakwa sasa hivi ni kufunga makampuni kitu kinachoonyesha biashara nyingi zinafungwa
Mpaka sasa ni asilimia 30 tu ya bajeti ndiyo imetolewa,asilimia 70,haijapelekwa kunakotakiwa.
Yaani katika shilingi 100,imepelekwa shilingi 30,shilingi 70 haijulikani kama itapelekwa.
Hii ni chini kabisa ya wastani,kwa maana hiyo,ili bajeti ya 2016/2017 itekelezwe,nchi itahitaji miaka miwili mingine mbele tena na robo,kwa kuwa 2016/2017 wamefanya kwa asilimia 30,2017/2018,watafanya asilimia 30 ingine,na 2018/2019 watafanya asilimia nyingine 30(jumla inakuwa asilimia 90,
Inabaki asilimia kumi.
Kwa misingi hiyo,nchi hii itaendelea kuhangaika na bajeti moja kwa miaka karibu mitatu
Huku ni kufeli kwa hali ya juu
Hivi pesa ya kulipia ndege tena cash ilitoka wapi??
Acha awatetee, mbona nyie mnachukua magari yao hao "wauza ganda" (ngada?)?Ni mbunge wa ikungi na mtetezi wa wauza ngada hatumtambui sisi walala hoi
Titanic imegonga iceberg.Nchi yangu inazama.