Pre GE2025 Tundu Lissu: BAWACHA kama mnataka fursa za uongozi Bungeni au Udiwani mchagueni Celestine Malley-Simba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
No Reform! no election!
Hadi 2030 TAL hatapa mbunge hata mmoja!
Tutaambulia,makesi, maandamano, migomo .
 
Hii haijakaa vizuri. Makamu Mwenyekiti anampigia debe wazi wazi mmoja wa wagombea? Akiwa Mwenyekiti si ndio itakuwa balaa! Na hawa ambao wametangaza loyalty kwa mgombea, wataweza kweli kum hold accountable akikosea? Sio ishara nzuri.

Amandla...
 
Mbowe hadi kwenye viti maalumu alikuwa ana weka mahawala zake tu
Kwa hiyo mtu mwenye uhusiano wowote na kiongozi wa chama hatakiwi kugombea nafasi ya uongozi? Au kushika nafasi yoyote ya uongozi?

Amandla...
 
No Reform! no election!
Hadi 2030 TAL hatapa mbunge hata mmoja!
Tutaambulia,makesi, maandamano, migomo .

..kwanini Reforms hazifanyiki?

..watu wengi hawajaridhika na jinsi uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyoendeshwa.

..serikali na Ccm walitoa ahadi kwamba awamu hii itaendesha uchaguzi vizuri, lakini kila mtu ameshuhudia madudu ya aibu ktk uchaguzi serikali za mitaa.

..kwa maoni yangu asiyetaka reforms hana nia njema na nchi yetu.
 
Hii haijakaa vizuri. Makamu Mwenyekiti anampigia debe wazi wazi mmoja wa wagombea? Akiwa Mwenyekiti si ndio itakuwa balaa! Na hawa ambao wametangaza loyalty kwa mgombea, wataweza kweli kum hold accountable akikosea? Sio ishara nzuri.

Amandla...
Mpango alisema yeye yanga waziwazi na akapewa na kadi kabisa mbele ya kadamnasi me nadhani hakuna tatizo muraa
 
Hii haijakaa vizuri. Makamu Mwenyekiti anampigia debe wazi wazi mmoja wa wagombea? Akiwa Mwenyekiti si ndio itakuwa balaa! Na hawa ambao wametangaza loyalty kwa mgombea, wataweza kweli kum hold accountable akikosea? Sio ishara nzuri.

Amandla...

..hapa Lissu amekosea, unless hao wagombea wengine wanafanya kampeni za wazi kwa niaba ya Mbowe.
 
..hapa Lissu amekosea, unless hao wagombea wengine wanafanya kampeni za wazi kwa niaba ya Mbowe.
Sidhani kama kuna mgombea yeyote atadiriki kusema wazi wazi kuwa anamuunga mkono Mbowe. Sasa hivi habari ya mjini ni Lissu. Ukitaka kushinda panda farasi wa Lissu. Chawa wanakaa mkao wa kula.
Ninachojiuliza ni kuwa mtu kama huyu atakuwa upande gani pale maslahi ya Bawacha na Chadema yatapotofautiana!
Lakini mimi sishangai maana ana elements za kuwa authoritarian.

Amandla...
 
..kuna kitu Freeman Mbowe na timu yake wamekikosa, au wamekosea, na kupelekea " "hali ya hewa" ndani ya Chadema kuchafuka kiasi hiki.
 
Akisema Lissu mimi ni nani wa kupinga?
 
Ni kura ya mabadiliko pekee itakayoondoa umalkia katika ubunge na udiwani wa viti maalum katika chama chetu. Ni kura ya mabadiliko pekee itakayohakikisha wanawake wengine nao wanapata fursa za kuwa wabunge na madiwani wa viti maalum.
Mwisho wa kunukuu
 
Kama ulisikiliza Hotuba ya Jana ya Mh Lemaz utagundua mambo yalianza kuharibika tangu kitambo.

..ukiacha suala la kuharibika kwa mahusiano baina ya Mbowe na watu wake wa karibu, kitu gani kingine kimepelekea hali hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…