Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unapo ambiwa deni la taifa trioni kadhaa
Inamaana Kila Mtzd alipata fungu wakati wa mkopo?
Hizo pikipiki wamepewa Machawa
Katazame zinayo piga misele hovyo ndio utajuwa Kila Mtzd Zina muhusu
NA nyie makunguni ya chadema ruksa kupewa pikipiki! 😊
 
Kwa huku Arusha, hizo pikipiki zimetolewa wapi?
 
Lisu akivaaga iyo kofia ananikumbushia Lodi lofa 🤣🤣🤣.
Hii nchi hatujawa huru mpaka tupate katiba MPYA na ya wananchi!
Acha hii waliojifungia wachache wakakopi kwa wakoloni inayopelekea hadiLeo tuna watawala badala ya viongozi.
 
Kwa hiyo hizo plate number walizogeuza na kuweka jina la mheshimiwa zitakuwa zinalipiwa km ilivyo kwenye magari au ni free.

Ila tz kuendelea itachukua miaka mingi sana. Wachache (minority) wanafurahia maisha kwa kutafuna keki ya Taifa wakati wengi (majority) wanateseka na kubaki na sifa yao kubwa ya kuitwa "wapiga kura" ha ha ha 😂 😂

Hili la pikipiki halina utofauti na lile la mwendazake alipoamua kwa makusudi kuwaita WATENDAJI KATA ikulu Tz nzima ili kuwapa maelekezo ya uchaguzi wa mtaa. Hapo gharama zilizotumika kuwasafirisha, kula, kulala nk ni kufuru. Jambo ambalo tangu nimezaliwa sikuwahi kushuhudia kabla. Baadae utaskia ongezeko la TOZO, kubadilika kwa KIKOKOTOO, nk.

Ila sema wapiga kura nao ni vichwa maji, majority hawajui ba wala be hata wakielimishwa vipi bado utawaona wanapokoea chumvi ya 200, kipande cha kanga, kofia, viberiti, pombe, na t shirt. Na walivyo vichwa maji huwa hawaulizi juu ya kupewa suruali. Sasa unajiuliza hivi unawezaj kuvaa t shirt bila suruali. Mtu akiamua kukuvalisha akupe mavazi full.
 
Ndo rais wako sasa , direct au plus serikali ya mseto nyie jichanganye ,yajayo yanafurahisha
Ikiwezekana itakua poa sana mkuu , ila sioni dalili ngoja tusubiri mda ndio mwalimu mzuri.
 
Huyu jamaa anakusidio muhumu sana kwa manufaa ya nchi nchini, ila hata kaa awe raisi wa nchi hii
Who are you? Are you God? Acha ujinga na akili za kipumbafu. Mungu anaweza fanya chochote wakati wowote kama alivyofanya March 2021!
 
Magufuli hakuwahi kuwa mfujaji wa hela za nchi bali alikuwa na uchungu nazo.
 
Wezi wa kura hawawezi kuwa " Watu Wazito"!!
 
Magufuli hakuwahi kuwa mfujaji wa hela za nchi bali alikuwa na uchungu nazo.
Hizo Hela za Ruzuku za CCM pikipiki za CCM sio za serikalli

Ruzuku ruksa kununua vyombo vya usafiri vya chama
 
Huyu jamaa anakusidio muhumu sana kwa manufaa ya nchi nchini, ila hata kaa awe raisi wa nchi hii
Kwani mtu akisema mambo ya maana Kwa faida ya nchi anataka cheo? Au alishatangaza kugombea 2025, au mnamsemea? Au mwenye mawazo mazuri hatakiwi kusema eti anataka cheo. Acheni propaganda za kiCCM
 
Sio piki piki tuu kuna mabango hadi vijijini yenye sura yake pesa ya kuchapisha na kulipia kuwekwa sehemu za matangazo ametoa nani🤔 ni mwendo wa trab na trat kwenye kwenye kwenye kwenye mpaka mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…