Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ndiye kaongo sugu.Pikipiki gani inayouzwa Ths.1 mln?Na ni lini ulimjibu hoja zake kwa huo unaouita ukweli wako?Hizo za milioni-milioni ni za mabua au scrapped za kurudishwa kiwandani?
 
We ndio muwongo. Hiyo boxer ya laki Saba unapata wapi? Umetuwekea bei ya kiwandani pale China (cost) bila usafiri, bima na kodi inapoingia nchini.
 
Nionyeshe Bei ya pikipiki ya laki 5 hapa bongo.Lissu kasema Bei ya bongo.wewe unalete Bei za kule Kwa manufacture bado usafirishahji nk
 
Ficha ujinga wako nenda dukani wanakouza piki piki ndio uje na bei,hizo online ushaweka kodi hapo? Mambo ya wazi kabisa unataka kutumia nguvu kibao sokoni kwa sasa Bajaj ni 12m na piki piki ni 3m approximately
Subishani na watu wa jamii yako,mimi naongelea china wewe unaleta habari za kariakoo
 
Wewe ndiye kaongo sugu.Pikipiki gani inayouzwa Ths.1 mln?Na ni lini ulimjibu hoja zake kwa huo unaouita ukweli wako?Hizo za milioni-milioni ni za mabua au scrapped za kurudishwa kiwandani?
Muwe mnasoma na kuelewa,tatizo mbogo zenu zimekaririshwa kupinga bila kuelewa hoja,elewa neno china
 
Nionyeshe Bei ya pikipiki ya laki 5 hapa bongo.Lissu kasema Bei ya bongo.wewe unalete Bei za kule Kwa manufacture bado usafirishahji nk
Lissu anaushahidi kuwa hizo pikipiki zilinunuliwa bongo auziliagizwa ng'ambo?
 
Sasa kwani pikipiki zimegawiwa China au?na kama unaongelea China inakuaje useme TAL anaongopa?
Lissu ni muongo sasa bei anayotaja ni ya last consumer,hajataja bei ya jumla kwa mnunuzi,endeleeni kumwamini na kumchangia pesa baada ya wiki mbili atakuwa Amsterdam
 
Muwe mnasoma na kuelewa,tatizo mbogo zenu zimekaririshwa kupinga bila kuelewa hoja,elewa neno china
Hata ingekuwa mpakani mwa Kenya,bei haiwezi kuwa 1.m.Labda,labda utueleze kwamba amepewa zawadi na makomredi wa huko China.Labda!Dukani hapa Tz hizo "vunja miguu" ni 2.8 hadi 3.3 mlns.Tena ninyi chawa mkiagizwa vitu huwa mnajiongezea bei mpate cha juu.Mngesema mmenunua kwa 6.mlns.
 
Sasa kwani pikipiki zimegawiwa China au?na kama unaongelea China inakuaje useme TAL anaongopa?
Huyu ndugu analazimisha mambo kama kila chombo hununuliwa huko China na kubaki hivyo.Haweki usafiri,usajili na matumizi ya ziada hadi kumfikia mtumiaji-mlengwa wa "hongo" hiyo.
 
Ok sawa siyo B 54!! Wewe Kwa hesabu zako umepata shilingi ngapi jumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…