Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bora angenunua tractors,ivi uongozi huu mbona tuingizwa kwenye Hali hii tumekosea wapi? Hili deni nani anaenda kulilipa ,Tanzania hii tumefikishwa huku bila kujali maumivu
 
Serikali Tena? Kwaiyo wamuuwe? Wewe weka hoja
 
Anapesa mingi acheni kusumbua wakubwa

Ndiyo swali pesa katoa wapi. Raisi miaka 3 nchi masikini umeshalimbikiza Bil 54! za pikipiki. Cha ajabu ni kuna watu hapa wanajifanya wazalendo wata tetea hili kwasababu tu limesemwa na Lissu. Uzalendo ni nini hasa! kushabikia CCM hata kwenye maswali au wizi? Watu wana watumia bila kujua
 
Basi tuamini ya kwako lkn hizo 9b kazitoa wapi? Tatizo sio wingi wa hela bali tunataka kujua zimetokea wapi B9
 
Bilioni za kukodi chopa zimetoka wapi?

Chadema acheni kuwa wapumbavu,Kwa Mali walizonazo ccm wanaweza hata kununua dreamliner kadhaa,
 
anajitutumua na kujichasha bure tu,

wananchi wanaendelea na shughuli zao tu wala hawana habari nae maskini

siku ya 17 leo, kakomaa na singida tu na wala hana inpact yoyote, kama yalivyokua yale majorging waliyoyafanya huko nyuma, anadai eti lema amepata dharura ameshindwa kuhudhuria mkutano wa itigi
 
Ulichokiandika hapa ndio impact yenyewe. Tulieni tunataka majibu SSH bodaboda katoa wapi hela. Suala la sukari lipo Bungeni.
 
Uchawa ni kazi ngumu aisee. Yaani inabidi ulambe miguu ya wanaume wenzako hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…