fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Hao mabeberu si ndo main sponsor wenu hapa??Naona unajifurahisha kulutaja hilo neno wakati ni mkono unaokulisha.Mkuu kama na wee uko upande wa huyu kibaraka wa mabeberu nakupa pole,huyu hataboi,magufuli atamtwanga mapema sana,ajandae kusafiri kwenda kwa mabeberu wenzake
Hao hawajakaa serikalini inatakiwa aliyeshika madaraka na kuaminisha watu juu ya hili na lile aje kwa miaka mingi ayathibitishe hayo kwenye mdahalo
Niliwahi kuomba picha za viwanda vinavyohubiriwa kujengwa nchi nzima na products zake hakuna lumumba aliyepost hizo picha luthibitisha
Mgombea wenu amekulia mashambani au huoni alivyomshambaHuyo mjamaa amekulia porini afu anajiona lugha ya kingereza ni kijijini kwao
Kufanya mjadala na mropkaji wa matusi nani atakubali?
Aende ubeligiji akafanye mjadala na robert
Unadhani Jpm akae meza moja na TL kipi kutatokea,huyu Mzee atapigwa hoja ngumu sana mwishoni anaweza hata kurusha ngumi!Wanacho cha kuongea ila mazingira hayaruhusu.
Kwani hii midahalo huongelea zile sera zao na kuwapa nafasi wananchi kuzipima na kumpima mgombea.
Kwa sasa huu mtindo wa kuzunguka nchi nzima ni mdahalo tosha.
Wenzetu Marekani na wengine wamekuwa wakifany ahii midahalo tangu miaka ya 60.
Hivyo hatuwezi kuiga kila kitu.
Kibao kimegeuka mwaka 2015 ccm mlihitaji sana mdahalo na lowasa safari mbona hamuutaki mdahalo tena why?Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!
Mnavyopenda sifa picha za hivyo viwanda zingekuwa zimechafua internetSasa hivyo viwanda ndo vitaletwa kwenye midahalo?
Si uende Kibaha huko upange na RC mzungukie uone viwanda?
Si shida yako kuona viwanda au?
Jiwe limerushwa gizani nyumbani kwa Mheshimiwa, litampata nani? Asikimbie mjadala mubashara ili wapigakura waone tija ya yale aliyowahubiria na kuwaaminisha kwa miaka mitano iliyopita. Aje na ushahidi wa hoja kuwa Tanzania ya viwanda, vita vya kiuchumi dhidi ya mabeberu, Tanzania is a donor country na porojo nyingine kama hizo.
Mgombea wenu amekulia mashambani au huoni alivyomshamba
Jiwe vipi wiki sasa anaumwa mgongo kampeni zimemchisha kakimbilia kwa bibiKampeni za majukwaani zishamshinda snitch Lisu....CCM note hili, muongeze bidiii (upinzani wanapumulia machine)
Mnavyopenda sifa picha za hivyo viwanda zingekuwa zimechafua internet
Kwenye mdahalo kuna mengi ya kuzungumza ni moja pia ya sehemu ya kujinadi na kuonesha dira ya sera zako na namna utakavyoshukhulikia national matters.
Dr sidhani kama mdahalo atakimbia
Hata lisu ni hivyo hivyo kwa hiyo ngoma droo tulia mzeeHata Hayati Mwalimu Nyerere alikulia kijijini na akachunga ng'ombe.
Baadae akatimkia shule na akaanza shule akiwa na miaka 12, na "upstairs" akawa si wa kawaida.
Huyohuyo umwonae mshamba leo hii kakuzidi akili, yeye ni raisi wa nchi.
Sisi hatutaki midahalo,walio karibu na mgombea wetu wa chadema wamwambie ,raia wanataka Sera,sio Mara nina risasi 16 kiunoni,sasa zinamsaidiaje raia wa kawaida hizo risasi?
Huyu mgombea wetu anatuangusha sana ,harafu akishindwa aanze kusingia ccm wameiba kura zake
Inashangaza kuona jamii ya msomi kama wewe "unagwaya mdahalo" jifunze pia nchi za watu ulikokopi jina unalotumia humuSasa kama ni kujinadi kuzunguka si kwatosha?
Na kama ni sera mgombea wa CCM ameishaziongelea?
Na tundu Lissu nae si bado azunguka?
Sasa midahalo ya ni?
safi mh lissu , ila hawezi kuja au kukubali kimbunga 2020 lissu sio mchecho na kukisogelea ni zaidi ya shot ya umeme , sijui labda anaweza kukubali ,
My Take: Tundu Lissu kuwa na huruma
Hata lisu ni hivyo hivyo kwa hiyo ngoma droo tulia mzee
Una mcompare na nani unaposema hana mpinzani, kwani Lissu ameshawahi kuwa Raisi wa hii nchi .?Lengo la mdahalo ni nini?
Kama ni utendaji wote tunajua kwa sasa JPM hana mpinzan
Anatapatapa sasa ameshindwa kuwa win watz! Hatuhitajj mdahalo sisi bali tunataka utuambie umefanya nini na utafanya nini tukikupa kura zetu! Hatuko kwenye mashindano ya mdahalo!