Tundu Lissu: CHADEMA haijapokea ruzuku hata senti 5, Baraza Kuu kukaa Machi au Aprili

Yaani unamtetea mgogo Ndugai kwa kumponda Mbowe na Mnyika....kwa hiyo Mbowe aende akawatoe kwa nguvu pale bungeni? Haahaa mgogo kashasema wale ni wabunge hata Kama wamefukuzwa na chama Chao...
 
Hiyo taarifa ya Lisu imekosewa?! Kaandika hawawezi kuitisha kikao kuwajadili hao waasi.

Kikao kikifanyika April itakuwa bado ndani ya muda kikatiba (katiba ya chadema) kujadili rufaa ya hao waasi?
... hatutaitisha kikao kujadili waasi tu... hiyo sentensi umeielewaje, it means there other business to be discussed too.
 
Mzalendo aliyekimbia nchi yake?

..Siyo ajabu kwa mwanasiasa au mwanaharakati kukimbia utawala dhalimu wa kikatili nchini kwake.

..Wanasiasa wafuatao walipata kuishi ukimbizini kama hivi alivyofanya Tundu Lissu.

1.Yoweri Museveni [ uganda], 2.Salva Kiir [ South Sudan], 3. Arthur Mutharika [ Malawi ], 4. Felix Tshisekedi [ Drc] ,5. Jacob Zuma [ Afrika Kusini]
6. Sam Nujoma [ Namibia], 7. Emmerson Mnangagwa[zimbabwe], 8. Yasser Arafat [ Palestina], 9. Ayatollah Khomeini [ Iran], 10. Augustino Neto[ Angola], 11. Joaquim Chissano[ Msumbiji].
 
... hatutaitisha kikao kujadili waasi tu... hiyo sentensi umeielewaje, it means there other business to be discussed too.
Wabunge walifukuzwa Novemba 27 mwaka jana. Walikata rufaa ndani ya mwezi mmoja kama katiba inavyotaka.

Ninachoelewa ni kwamba kikao kikiitishwa April kitakuwa nje ya muda unaokubalika kikatiba (siku 90) kujadili rufaa yao.

Labda uongozi umeamua kukubali kinyemela yaishe, au wewe unaelewaje?!
 
Kwanini chama kipoteze muda na gharama kubwa kujadili ajenda moja ya ‘waasi’ ambao tayari aliyewateua kasema atawalinda kwa gharama yeyote?

Haraka ya nini be patient (you) they will get what they deserve.
 
Hongera bi.mdogo inaonekana una taarifa nyingi kwel znazomuhusu mumeo
 
We nguchiro ucjifanye unajua ya nchi hii kumbe ni chakubanga tu
 

Toka jana nakuambia weka ushahidi wa cdm kupokea ruzuku maana ww upo hapo Tanzania na sio Belgium.
 
Mkuu umesoma Historia? Unajua kwanini Nelson Mandela alipendwa sana Afrika Kusini? Unajua kwanini Jacob Zuma alipendwa sana kuliko "Mtangulizi" wake Thabo Mbeki? Ukiwa na hayo majibu, tutaongea!!!!!

Hizi tunaita ni hekaya.
 
Nyumbu ni wazazi wako.
 
Kama mwenyekiti Mbowe alitoa tamko la maamuzi ya kamati juu ya watu hao kuwa wanakufukuzwa mara moja kwa nini Kamati Kuu haikutani haraka kutimiza takwa hilo. Kama maagizo ya kamati yalikuwa kujazwa maramoja kwa nafasi zao za uongozi katika chama, kwa nini mpaka leo hazijajazwa. Mnatoa mwanya huu wa muda wa nini? Au mmegundua ruzuku ni kidogo mnasubiri mpaka April zitakuwa zimeongezeka kidogo mchukuwe za mkupuo wa miezi yote ya nyuma maana kisheria bado ni zenu😃😃😃
 
CCM kimekuwa chama cha majambazi wanajikwapulia ruzuku yote %100 na kujinunulia mavieitee
 
Atoe bank statement za Chama

[emoji846][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…