zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Bobi wine aliwashwa risasi 16? Hyo Trauma yake sidhani kma ww ungewahi rudi nchini let alone kuchukua fomu kugombea Urais alafu ukaendelea kuwasha moto!!Hata wewe Tundu Lisu ni muasi, usijione kana kuwa wewe pekee ni mwenye haki katika nchi hii, unaongeleaje maswala ya Taifa hili ukiwa porini,huo si uasi?
Unazidiwa na kijana mdogo Bob Wine anayepambana akiwa nchini kwake.
Mahakamani umekimbia kesi zako kwa visingizio ,mara matibabu,mara hoo wanataka kunia.
Hofu yako inasababishwa na mdomo wako mchafu uliojaa matusi na kejeli kwa viongozi wa nchi, hali ambayo inasababisha ukimbie hata kivuli chako mwenyewe.
Kama una jambo mahakama zipo, njoo ufungue kesi,sio kulalama ovyo, hata huko watakuchoka siku moja.
Chadema nao wameugua sonona,iweje kiongozi anayeishi porini awapelekeshe kiasi hiki?
Itambueni serikali na mchangie katika ujenzi wa Taifa, huo ndio uzalendo.
Lissu sio coward ila anafuata principles za game of power..... Usife tu kwa kutafuta heroics but save your power till your rival wanes and exhausted, then hit with a killer blow at the right time and place.....
Kasome kitabu cha 48 Laws of Power ndio utaelewa haya mambo otherwise bado ni amateur kwenye mambo ya uongozi