Tundu Lissu: CHADEMA haijapokea ruzuku hata senti 5, Baraza Kuu kukaa Machi au Aprili

Haahaa hili swala la covid 19 kumlaumu mbowe na mnyika no kujifanya hamnazo, mgogo kashamaliza wale ni wabunge hata Kama wamefukuzwa chama.mbowe afanyeje?...
Anayo anayoyajua ila anaficha rufaa mbona haitoi majibu!
 
Hiyo inaonyesha kukomaa kwa taasisi, chama hakikurupuki kutoa maamuzi hata kama yametolewa na mkiti kina taratibu zake ambazo lazima zifuatwe.
 
Mnyika na yule Afisa Habari Makene wapo wapi? Taarifa nyingine Makamu Mwenyekiti angekuwa anawaachia hawa watu.
 
Hata wewe Tundu Lisu ni muasi, usijione kana kuwa wewe pekee ni mwenye haki katika nchi hii, unaongeleaje maswala ya Taifa hili ukiwa porini,huo si uasi?

Unazidiwa na kijana mdogo Bob Wine anayepambana akiwa nchini kwake.

Mahakamani umekimbia kesi zako kwa visingizio ,mara matibabu,mara hoo wanataka kunia.
Hofu yako inasababishwa na mdomo wako mchafu uliojaa matusi na kejeli kwa viongozi wa nchi, hali ambayo inasababisha ukimbie hata kivuli chako mwenyewe.

Kama una jambo mahakama zipo, njoo ufungue kesi,sio kulalama ovyo, hata huko watakuchoka siku moja.

Chadema nao wameugua sonona,iweje kiongozi anayeishi porini awapelekeshe kiasi hiki?
Itambueni serikali na mchangie katika ujenzi wa Taifa, huo ndio uzalendo.
 
OK; tufanye wewe upo sahihi; jibu swali hili kufuatia alioyasema Lissu; Kwamba msajiri aliitisha kikao cha kugawana ruzuku na katibu mkuu wa Chadema huyo unae mtuhumu alialikwa, HAKWENDA kwa kikao hicho, hiyo ni kulingana na UZI, je kwa mujibu wako wewe, Mnyika alipewa mwaliko au laa, kama alipewa, alihudhuria kikao hicho au LA!?
 
Nahisi hiyo pesa imeisha IBWA
 
Hatuhitaji kwa kila kitu maana vingi ukweli wake uko wazi, ila hili limekaa ambapo ushahidi wake hauko wazi. Sasa kwakuwa nyie ndio mnasema cdm wanachukua ruzuku ina maana mna ushahidi, basi malizeni mchezo wa kuweka ushahidi mezani. Mnakwama wapi?
Basi endelea mkuu huku wenzio wakijipigia mihela ya ruzuku! Si watetezi mpo
 
Chadema kina wanachama 6,700,000 hao wanachama ndio watakaoendesha shughuli za chama.
Uongo Chama chenye wanachama 6,700,000 haya ndio makao makuu ya chama? Mbona idadi haiakisi uhalisia?





TLP kina wanachama elfu 70 tu ona jengo lao la makao makuu ona walivyojitahidi


Uongo
 
Kukimbia nchi kivipi? Mbona Mandela aliwahi kimbia nchi yake akaishi pale Moro na Kongwa? Huna hoja mkuu
Aliona sio sawa ndio maana alirudi nchini kwake

Watu walimpenda Mandela sababu alishiriki tabu zao akiwa ndani ya nchi yake akipata shida nao sio huyu Lisu mkimbia nchi anakula pizza ulaya akibweka kuwa nyie huko Tanzania andaeni mazingira mazuri nije kugombea uraisi!!!! Wenzie wote walioishi uhamishomni wawe akina Museveni akina Kagame nk wote walikuwa nchini mwao kuongoza mapambano hawakukaa ubelgiji wakiongelea kwenye watsap wakisubiri uchaguzi ufike wahonge uongozi wa juu wagombee !!!

Lisu is a modern day political coward tofauti na akina Bob wine wa Uganda ambaye full time yuko nchini kwake
 
Ushahidi anao mwenye chama chake
 
Kwanini chama kipoteze muda na gharama kubwa kujadili ajenda moja ya ‘waasi’ ambao tayari aliyewateua kasema atawalinda kwa gharama yeyote?

Haraka ya nini be patient (you) they will get what they deserve.
Kuzingatia na kuheshimu matakwa ya kikatiba si jambo muhimu kwako?!
 
Swafi saana Rais wa watanzania kwa ufafanuzi huo!!
 
Anasema kama kuna ushahidi uwekwe, mwanangu ana A tupu sayansi, nimemwambia akwende kwa sheria.
 
Mchaga Mbowe hawezi mshirikisha Chasaka Lissu mambo ya pesa !!! Haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…