Tundu Lissu: CHADEMA haijapokea ruzuku hata senti 5, Baraza Kuu kukaa Machi au Aprili

Bobi wine aliwashwa risasi 16? Hyo Trauma yake sidhani kma ww ungewahi rudi nchini let alone kuchukua fomu kugombea Urais alafu ukaendelea kuwasha moto!!
Lissu sio coward ila anafuata principles za game of power..... Usife tu kwa kutafuta heroics but save your power till your rival wanes and exhausted, then hit with a killer blow at the right time and place.....

Kasome kitabu cha 48 Laws of Power ndio utaelewa haya mambo otherwise bado ni amateur kwenye mambo ya uongozi
 
Lisu is a modern day political coward tofauti na akina Bob wine wa Uganda ambaye full time yuko nchini kwake
Kagame museveni Kiir Kabila at some point wote walikua uhamishoni wakianzisha power struggle.... Hta Burundi hao CNDD FDD walijijenga upya kutokea mpaka wa DRC na hta kupokea support ya Angola ili kupambana na UPRONA. Kina samora walikua na base hapa TZ so sio kweli eti walibaki nchini mwanzo mwisho.

Mandela aliwekwa ndani ila bado ANC ilikua na viongozi kibao exile hta huyo Zuma alikua na kazi ya kusaka silaha na funds kutoka mataifa mengine kuendeleza struggle. Na hata kambi yao ilikua pale Kongwa.

well Lissu hajawahi kuwa coward ndio maana Pascal Mayalla aliapa humu kwamba Lissu hawezi kurudi Tz na kwamba hawezi kugombea Urais atakatwa..... Ila wote tunafahamu alivyorudi na jinsi alivyobadili upepo wote wa kampeni ambazo kabla ya ujio wake zilikua too predictable.
 
Mkuu umesoma Historia? Unajua kwanini Nelson Mandela alipendwa sana Afrika Kusini? Unajua kwanini Jacob Zuma alipendwa sana kuliko "Mtangulizi" wake Thabo Mbeki? Ukiwa na hayo majibu, tutaongea!!!!!
Huelewi chochote wewe, Historia gani unayoijua wewe, tuambieni tukio la kupigwa risasi, kama kuna upelelezi wowote umeanzishwa, unatuletea mambo ya Mandela, non-sense.
 
Leo nashangaa ukiwaangusha wapuuzi wenzio kirahisirahisi hivi. Unawaweka ccm na cdm kapu moja? Au kidole kimeteleza? Maana wewe ni mpuuzi wa kiwango cha kutisha. Kwako tunatumia kanuni ya kuwa dawa ya mpuuzi ni kumpuuza!
 
Mpuuzi wa wapuuzi akibwabwaja tu. Ana ndugu kwenye system. Nilidhani ni yeye. Tunawajua sana mkilewa kwenye baa mnatoa vitambulisho feki. Kila aina ya vituko, viroja na vitimbwi mwafanya nyie.
Najua ni kupoteza bure swali langu kwako. Nitauliza kwa faida ya watu wenye akili. Lipi ni kosa zaidi kuliko jingine kati ya uhaini na usaliti? Mtu amefanya mojawapo kati ya hayo anazunguka nchi nzima, system yako kimya. Faili lake linabadilika rangi kwa vumbi. Ndugu yako mkiwa baa ndio anakuthibitishia lipo. Ungekuwa sio mpuuzi ungemuuliza linasubiri nini TAL asitundikwe? Nina uhakika Jiwe angesaini TAL anyongwe hadi kufa hata kabla ya hukumu yenyewe. Ni mpumbavu tu awezaamini upumbavu kama huo.
 
Wao ndio wanatakiwa
Weka ushahidi wa cdm kuchukua ruzuku.
walete ushahidi kwamba kwenye akaunti zao hakuna hela iliyoingia. Nachukulia ruzuku kama mshahara vile sio lazima usaini ndio ulipwe wewe utakutana nao juu kwa juu
 
Wao ndio wanatakiwa

walete ushahidi kwamba kwenye akaunti zao hakuna hela iliyoingia. Nachukulia ruzuku kama mshahara vile sio lazima usaini ndio ulipwe wewe utakutana nao juu kwa juu

Huyo aliyeweka mshahara bank atakuwa na deposit slip. Kwa hapa tuliyofikia hela ingekuwa imewekwa kweli serikali wangeweka ushahidi. Kama wameweza kuwabambikia kesi wapinzani ili kuwachafua mbele ya umma, watashindwa kuweka ushahidi wa hiyo pesa ya ruzuku? Kama wabunge waliofukuzwa chamani wanaingia bungeni kinyume cha sheria, hiyo deposit slip ndio iwe siri?
 
Wao ndio wanatakiwa

walete ushahidi kwamba kwenye akaunti zao hakuna hela iliyoingia. Nachukulia ruzuku kama mshahara vile sio lazima usaini ndio ulipwe wewe utakutana nao juu kwa juu
Unajua maana ya burden of proof? Kwa sheria za TZ anayetoa tuhuma ndio anatakiwa kutoa uthibitisho.

Otherwise uombe uchunguzi ila sio ww eti uwaambie CHADEMA waprove kma hawachukui ruzuku? Kanuni hazipo hivo...... Anayeshutumu ndio ajitokeze na huo ushahidi mbona simple tu.
 
Kwanza kwa nini tu.abishania mambo yasona maslahi. Kwani wasipochukua nani ataathirika. Nimesikia Cdm Hq wameanza kupunguza watumishi kama njia kukabiliana na ukata
 
Kwanza kwa nini tu.abishania mambo yasona maslahi. Kwani wasipochukua nani ataathirika. Nimesikia Cdm Hq wameanza kupunguza watumishi kama njia kukabiliana na ukata
Press release imesema reshuffle sio retrenchment.... Hta 2011 ilifanyika na 2016 ilifanyika ama mnadhani ukiwa mkurugenzi wa idara fulani ndio haina ukomo? Funny.
CHADEMA ilikua inafanya M4C zile za operation sangara almost kila wiki wapo barabarani na kukodi chopa utadhani kampeni zimeanza...... All that wakiwa na ruzuku chini ya million 60 tu kwa mwezi.

Ndio sembuse leo hii mikutano imefungiwa..... Kuna gharama gani ktk awamu hii wkt siasa zimefungiwa? CHADEMA ina wadhamini wakubwa tu, vyama marafiki kma CDU, wanachama mamilion... Be assured kila mwaka ni mabillion yanaingia. Ruzuku ni peanuts tu.
 
Wao ndio wanatakiwa

walete ushahidi kwamba kwenye akaunti zao hakuna hela iliyoingia. Nachukulia ruzuku kama mshahara vile sio lazima usaini ndio ulipwe wewe utakutana nao juu kwa juu
Hata kwenye mshahara kabla hujaanza kulipwa sharti ueleze details za account na idhini ya signatories. Kwenye suala hili account details alitoa nani na signatories ni akina nani?
 
Sisi tuna macho na masikio, kwa hiyo tunaona tunasikia hivyo hatuhitaji msaada wa mtu yoyote ili tusikikie au kuona, fact ni kwamba ccm aka gambas ni wezi wa hela ya wananchi na niwauaji tena wa mchana kweupe , na hili wala huitaji kuambiwa na mbowe au lisu au sijui nani, kifupi ni kwamba ccm ni genge la majambazi na wauaji full stop, na hili hata mdogo analijua.
 
Hizi ni porojo tu. If you can not fight them join them, hii ndiyo waliofanya wabunge 19.

Wazo la kuwa na Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya havionekani kupatiwa majibu hivi karibuni kabla ya 2025. Vyama vya upinzani vililalamikia kuibiwa kura tangu uchaguzi wa 1995, 2020, 2005, 2010, 2015, na sasa 2020 lakini wabunge wa upinzani walioshinda (selathini, sugu, mbowe, mnyika, mdee, msigwa, lissu, bulaya, zitto, silaa, Lema, nk) na wale wa viti maalumu hawajawahi kuacha kuingia bungeni kwa sababu hiyo wala kususia ruzuku. Katiba ni ileile na vitendo vya tume ni vilevile.

Kulikoni safari hii walioshinda wakatazwe kuhudhuria vikao vya bunge na kukataa ruzuku?

Kwani chadema sasa hivi inafanya nini ili kupata tume huru na katiba mpya kabla ya 2025?

Mungu na Watanzania wanawaona!!!

Wa
 
Sasa Lisu ruzuku inakuhusu tangu lini?
Wewe ni signatory?
John Mrema na Mbowe ndiyo wahusika wa ruzuku, wewe endelea kujificha kwa mashoga, ukirudi ndiyo utapata akili
Chama kina wenyewe!
 
Niliandika haya 2021. Mbowe na Chadema walikuwa na mahesabu makali sana kuhusu Ruzuku. Walijua kwa kukosa wabunge uwezo wao wa Kifedha na kiuchumi utakuwa mdogo sana, wakaamua wasichukuwe Ruzuku kwa kisingizio wanasusia. Haikuwa kususia ilikuwa ni kuweka akiba sababu wanajua kwa Sheria za matumizi ya fedha za umma zile bado ni pesa zao hata kama ni baada baada ya miaka kumi, pesa yao watalipwa tena kwa mkupuo kitendo kitakachowawezesha kufanya siasa zao kiuhakika. Sasa mahesabu yao yanalipa. wamepokea Ruzuku na wanatamba kuliko vyama vilivyokuwa vikichukua Ruzuku kila mwaka
 
Sasa Lisu ruzuku inakuhusu tangu lini?
Wewe ni signatory?
John Mrema na Mbowe ndiyo wahusika wa ruzuku, wewe endelea kujificha kwa mashoga, ukirudi ndiyo utapata akili
Chama kina wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…