Sijawahi kuiona hiyo taarifa ya Chadema, usijekuwa ulichanganya baada ya kuona Lissu amefungua kesi ukadhani ndio Chadema, haya mambo yako wazi kwenye statute ya ICC, nikusoma tu, sijui mnashangilia nini hapa, ujinga wenu utawaponza.Kamanda tunajidili namna mlivyodanganya kuhusu kufungua kesi ICC,leo Lissu amewaumbua kwa uongo wenu. Chadema haina mamlaka ya kufungua kesi ICC.
We kamanda,acha hasira. Kama aliuwawa Mzee Kabila na mlinzi wake ndio ishindikane kwa Lissu? Kama wanataka kukuua wanakuua tu.Wewe mbumbumbu akiwa kwenye kampeni alipewa ulinzi na serikali, baada ya kampeni kwisha serikali ikamuondolea ulinzi.
Mlidanganya kuwa mmefungua kesi,Lissu amewaumbua. Soma The Citizen kama unajua kimombo. Kwani unajua kusoma kimombo?Sijawahi kuiona hiyo taarifa ya Chadema, usijekuwa ulichanganya baada ya kuona Lissu amefungua kesi ukadhani ndio Chadema, haya mambo yako wazi kwenye statute ya ICC, nikusoma tu, sijui mnashangilia nini hapa, ujinga wenu utawaponza.
Aisee sasa kama mlimkosa mara ya kwanza ndio mnataka awasubiri mjaribu tena mara ya pili!.We kamanda,acha hasira. Kama aliuwawa Mzee Kabila na mlinzi wake ndio ishindikane kwa Lissu? Kama wanataka kukuua wanakuua tu.
Niwekee hiyo taarifa ya Chadema niisome vizuri, hiyo ya Lissu nimeimaliza saa nyingi sana.Mlidanganya kuwa mmefungua kesi,Lissu amewaumbua. Soma The Citizen kama unajua kimombo. Kwani unajua kusoma kimombo?
Jamaa yangu unapost bila hata kusoma nimepost nini? Nimekuwekea Clip na Habari kamili ili uridhike.Niwekee hiyo taarifa ya Chadema niisome vizuri, hiyo ya Lissu nimeimaliza saa nyingi sana.
Tatizo una kichwa kizito sana, umesema juu kule Chadema walidanganya kwamba wameenda ICC ndio leo Lissu kawaumbua, sasa mimi nimekwambia nipe hiyo taarifa ya Chadema unayodai ni ya uongo niisome, nakuona unarembua tu hapa.Jamaa yangu unapost bila hata kusoma nimepost nini? Nimekuwekea Clip na Habari kamili ili uridhike.
Kwa hiyo umeshasahau nyuzi mlizosambaza humu kuwa mmefungua kesi Icc? Hujui chama ni watu?Tatizo una kichwa kizito sana, umesema juu kule Chadema walidanganya kwamba wameenda ICC ndio leo Lissu kawaumbua, sasa mimi nimekwambia nipe hiyo taarifa ya Chadema unayodai ni ya uongo niisome, nakuona unarembua tu hapa.
Fatou Bensouda. Tunasubiri aje afanye uchunguzi.Hivi yule mwendesha mashtaka anaitwa nani tena vile?
Ana majia fulani hivi amazing kama a.k.a fulani
Wewe mbumbumbu akiwa kwenye kampeni alipewa ulinzi na serikali, baada ya kampeni kwisha serikali ikamuondolea ulinzi.
Alipokuja kupiga kampeni alihakikishiwa usalama na nani?Mbona lumumba hamuishi kumfuatilia Lissu?
Kama mnamkumbuka sana muhakikishieni usalama wake arudi muwe mnamfanyia interview kila siku.
Chadema kufungua kesi au kutofungua sioni tatizo provided Chadema watatoa ushirikiano kwa Lissu kwa kumpa ushahidi wa yale yaliyofanyika, sasa hiki kicheko chenu hapa kinaonesha msivyojiamini, waoga, mnaotetemeka, ndio maana kutwa kumfuatilia Lissu.
Kwani Lisu anamuogopa nani?Wewe mbumbumbu akiwa kwenye kampeni alipewa ulinzi na serikali, baada ya kampeni kwisha serikali ikamuondolea ulinzi.
Kwahiyo alipewa ulinzi na serikali kipindi cha kampeni?sasa kwa nini anaituhumu serikali ?
Fatou Bensouda. Tunasubiri aje afanye uchunguzi.
Kumbe unajua?..hata Dodoma Area D eneo aliposhambuliwa kwa risasi ni eneo linalolindwa na walinzi wa serikali.
Sijawahi kuiona hiyo taarifa ya Chadema, usijekuwa ulichanganya baada ya kuona Lissu amefungua kesi ukadhani ndio Chadema, haya mambo yako wazi kwenye statute ya ICC, nikusoma tu, sijui mnashangilia nini hapa, ujinga wenu utawaponza.
Hiyo hapoNiwekee hiyo taarifa ya Chadema niisome vizuri, hiyo ya Lissu nimeimaliza saa nyingi sana.
Hiyo hapoTatizo una kichwa kizito sana, umesema juu kule Chadema walidanganya kwamba wameenda ICC ndio leo Lissu kawaumbua, sasa mimi nimekwambia nipe hiyo taarifa ya Chadema unayodai ni ya uongo niisome, nakuona unarembua tu hapa.
Hao magaidi walitumwa na nani?..inasemekana "maagizo kutoka juu" ndiyo yaliondoa walinzi ili kupisha magaidi waliotumwa kumuua Tundu Lissu.