denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Sijawahi kuiona hiyo taarifa ya Chadema, usijekuwa ulichanganya baada ya kuona Lissu amefungua kesi ukadhani ndio Chadema, haya mambo yako wazi kwenye statute ya ICC, nikusoma tu, sijui mnashangilia nini hapa, ujinga wenu utawaponza.Kamanda tunajidili namna mlivyodanganya kuhusu kufungua kesi ICC,leo Lissu amewaumbua kwa uongo wenu. Chadema haina mamlaka ya kufungua kesi ICC.