Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Lissu ni mtu wa kumuonea huruma sana anaishi maisha ya shida sana ila haachi kujitutumua ili aonekane yumo
Wewe na Lissu nani mwenye shida?
Sijui hata leo utakula wapi?
 
Nikiibiwa kura nitaingiza watu barabarani!
Wewe uliingizwa barabarani?
 
Hiyo ICC charter ndio nini??

Sheria iliyoestablish ICC ni Rome Statute.
 
Huyu mtu namuona kama hayawani vile,yaani anajidai kushughulika na mambo makubwa lakini ya kipuuzi ili aendelee kukaa midomoni mwa wafuasi wake.

Poor lissu
Hizi akili Hadi Hawa nyumbu wanaomfuata kila sehemu ndo wanazo
Angalia comment zao yaani unafikiri wameshinda kesi leo.
Wako kwenye keyboard halafu kesho watasahau wamesema Nini watakurupuka na lolote atalosema Lissu.
 
Lissu ni mtu wa kumuonea huruma sana anaishi maisha ya shida sana ila haachi kujitutumua ili aonekane yumo
hii inahusiano gani na uonevu unyanyasaji uovu wa CCM kwa wapinzani?
 
Hata hawajui kuwa, jamaa ndiyo huyo anaenda kuwa UN - General Secretary wao.

Yale yale ya yule mama wa NIMR (Malecela), unaharibu utu wa mtu mwisho wa siku, Mungu muumba anamwinua na kumrejeshea heshima ya utu wake.
Nani anaenda kuwa UN GS?
 
Sasa nimeanza kuelewa ni kwanini Hotel ya Rais wa Mbeya Mh Sugu haikuvunjwa na Serekali.Taratibu tutaanza kuelewana.
 
Hizi akili Hadi Hawa nyumbu wanaomfuata kila sehemu ndo wanazo
Angalia comment zao yaani unafikiri wameshinda kesi leo.
Wako kwenye keyboard halafu kesho watasahau wamesema Nini watakurupuka na lolote atalosema Lissu.
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi nyuma ya keyboard hata wewe umekaa kusifu manyanyaso ya CCM kwa wapinzani siyo kwamba wewe ni mwadilifu bali ni mnufaika wa matesa ya CCM kwa wapinzani
 
Wapo wanufaika wa mfumo kandamizi wa CCM wanufaika wa uonevu, mfano TRA jinsi wanavyofunga biashara kufunga Account kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara wanapata Rushwa, wengine kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi utakatishaji fedha wanaporwa pesa zao, wananufaika wa hivyo vitengo lazima wataipenda CCM milele kwani wamejinufaisha kiuchumi kwa blackmail na Rushwa na wengi ndiyo Hushinda mitandaoni wakiitetea CCM
 
Mashoga ni wakukojolewa risasi tu.
Ushoga upo CCM ndiyo maana makonda Bashite alijitahidi kuupiga vita ushoga lakini ni hao hao wabunge wa CCM walimpinga Bungeni wakiongozwa na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi hicho.
 
Huyu mtu namuona kama hayawani vile,yaani anajidai kushughulika na mambo makubwa lakini ya kipuuzi ili aendelee kukaa midomoni mwa wafuasi wake.

Poor lissu
Kwako kukataa uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani ni uwahayawani? Kwa kuwa wewe ni mnufaika wa manyanyaso ya CCM kwa wapinzani umeamua kujitoa fahamu zote?
 
Hata hukumu ya Mawazo nimeanza kuelewa ni kwanini ilikuwa hivyo.Mungu ni mwema anajua kuingia kwetu na kuondoka kwetu.
 
Wewe na Lissu nani mwenye shida?
Sijui hata leo utakula wapi?
Atakuwa ni Afisa wa TRA anayewabambikia kodi kubwa wafanyabiashara anawafungia account apate Rushwa, ukiona mtu anaitetea CCM ujue moja kwa moja ni mnufaika wa uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wananchi.
 
Nonsense,Because you swimming in the pond of idiotic mind you cannot change,kindly be informed that Mr Lissu is an hero person forever.
A hero for what? My fiend you will recognize the truth time gone,keep on being false informed by your false prophet lissu who is abroad making nonsense issues so as to feed his followers who are empty in their heads like you here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…