Watu tunasahau mapema sana; Amsterdama alisema wameshafungua kesi huko ICC. Nilipinga taarifa hiyo kuwa ni ya uongo kwa sababu mbili: (a) Amsteradama hajasajiliwa kama mwanasheria wa ICC, halafu (b) ICC haipokei kesi kutika mtu mmoja mmoja, in wanaheria wake ambao ndio wanaoushghulikikua kesi zote za ICC, na niliweka list ya wanasheria hao hapa kuonyesha kuwa Amstredam hayumo. Angesema kuwa amepeleka malalamiko yake huko ICC kuwaomba waichunguze serikali ya Tanzania, lingekuwa ni jambo tifauti kabisa na kudai kuwa amefungua kesi yake huko ICC!