Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

100% Tanzania hakuna kesi kama hizo. Inakuwa kesi kama waliodhulika moja kwa moja kama Lissu ni wengi kwa mamia otherwise nchi zenye migogora muda mrefu viongoz wake wangekuwa walishafungwa siku nyingi i.e Ivory cost, DRC, Sudan, Ethiopia kwa sasa n.k
 
Kweli ana maradhi ya akili?
Wakati wa kampeni alizungumza maneno mengi mengi sana yakuonyesha yupo radhi afe.
Ata alipozuiliwa kupita kwenye geti la serengeti pale alizungumza maneno ya polisi wawapige risasi kama awatomruhusu kupita.

Cha ajabu baada ya kampeni tu kuisha akakimbia,anadai katishiwa kuuwawa.ilhali wakati wakampeni alikua yupo radhi afe.
Jiulize,Lisu jasiri wa kipindi cha kampeni ni yupi,na Lisu wa baada ya kampeni ni yupi.
Hapo utagundua huyu jamaa anamatatizo kwenye kichwa.
 

Lissu na wanangonjera wenzake watanyooka tu. Tuliwaambia tangu mwanzo kuwa ICC sio baraza la wananzengo la kusikiliza kesi za walevi wa Faru John. Watu wengine wanajiita wanasheria nguli sijui ni nguli kwa umbumbumbu! Mwaka jana walitupigia kelekele sana, wakitishia viongozi mbalimbali kuwapeleka ICC. Utter nonsense!

Na chizi mwenzao Trump ameisaidia dunia kufahamu dangers za uchochezi. Hapo dili la uchochezi limeshaharibika; wachochezi sasa watakula kibano kitakatifu!
 
Haya ameeleza ndugu Tundu Lissu kuwa chama chake hakina mamlaka ya kufungua kesi ICC.

Ni nchi wanachama wa mkataba wa Rome ndio wana mamlaka hayo ya kufungua kesi.

Hivyo mpaka sasa CHADEMA hawajafungua kesi ICC.

Japokuwa wametoa ushahidi wa ukiukwaji wa haki za binadamu uvunjifu wa haki za kuishi,hasa kwa wapinzani. Hivyo wanasubiri mwendesha mashitaka mkuu wa ICC kama akiridhika aje aanze uchunguzi.

My take:
CHADEMA ni waongo sana, baada ya uchaguzi kuisha walidanganya umma kuwa wamefungua kesi ICC. Hawa watu sio hata kiduchu.
 

Attachments

  • Tundu Lissu_HD.mp4
    25.8 MB
Mbona lumumba hamuishi kumfuatilia Lissu?

Kama mnamkumbuka sana muhakikishieni usalama wake arudi muwe mnamfanyia interview kila siku.

Chadema kufungua kesi au kutofungua sioni tatizo provided Chadema watatoa ushirikiano kwa Lissu kwa kumpa ushahidi wa yale yaliyofanyika, sasa hiki kicheko chenu hapa kinaonesha msivyojiamini, waoga, mnaotetemeka, ndio maana kutwa kumfuatilia Lissu.
 
Mbona lumumba hamuishi kumfuatilia Lissu?

Kama mna mkumbuka sana muhakikishieni usalama wake arudi muwe mnamfanyia interview kila siku.
Kamanda tunajidili namna mlivyodanganya kuhusu kufungua kesi ICC,leo Lissu amewaumbua kwa uongo wenu. Chadema haina mamlaka ya kufungua kesi ICC.
 
Alivyokuja hapa akakusanya bukubuku za wapuuzi alikuwa hana usalama
Mbona lumumba hamuishi kumfuatilia Lissu?

Kama mna mkumbuka sana muhakikishieni usalama wake arudi muwe mnamfanyia interview kila siku.
 
Alivyokuja hapa akakusanya bukubuku za wapuuzi alikuwa hana usalama
Wewe mbumbumbu akiwa kwenye kampeni alipewa ulinzi na serikali, baada ya kampeni kwisha serikali ikamuondolea ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…