Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Uchunguzi wa nje wa nini mkuu? Punguza basi kulia lia.

Mwisho wa siku ujue tu kwamba kilichokuta Lissu sio kizuri sena shida ni maneo yake ya kejeri na kukela, mwisho wa siku anakusa msaada toka kwa serikali.

..kama watawala hawakumsaidia wakati ule yuko mahututi hajitambui unadhani watamsaidia sasa wakati anaweza kujisemea?

..watawala ndio walioondoa ulinzi wa area D ili kupisha magaidi waliowatuma wakamuue Tundu Lissu.

.
 
..Kwa hiyo unakubali na unaunga mkono kwamba Tundu Lissu ametoa ufafanuzi mzuri?
Huenda sielwei swali lako sawasawa. Unaonyesha kuwa kuwa kuna tofauti kati ya "Lissu kutoa ufafanuzi mzuri" au "Lissu kuelezea utaratibu halisi" wa jinsi ICC inavyofanya kazi zake.

Lissu hakufafanua chochote bali ameelezea utaratibu halisi wa jinsi ICC inavyofanya kazi zake. Kwa waliokuwa hawajui utaratibu huo basi wameelewa, lakini waliokuwa wanajua utaratibu huo hawaoni geni lolote la kuita "ufafanuzi."
 
..Maelezo aliyoyatoa Tundu Lissu ni mazuri.

..kuna watu wengi watafaidika na maelezo hayo.
 
.

..Maelezo aliyoyatoa Tundu Lissu ni mazuri.

..kuna watu wengi watafaidika na maelezo hayo.
Ni kweli, waliokuwa hawajui jinsi ICC inavyofanya kazi wakawa wanadanganywa kuwa Amsteradam anafungua kesi dhidi ya serikali ya Tanzania huko ICC watafaidiaka na maelezo hayo ambayo siyo "ufafanuzi" bali ndio "utaratibu halisi."
 
..Basi hilo ni jambo zuri na tunapaswa kulipongeza.

..kwa upande mwingine, tunamzungumzia Amsterdam, na ICC, kwasababu serikali na vyombo vya dola hawatendi HAKI kwa wanachama na wafuasi wa vyama vya upinzani.
 
Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020.

Msikilizie kwa undani

Sehemu ya pili ya ufafanuzi

. hili swala tungemwachia mungu tu ili kuepusha matatzo kama tuyaonazo kwenye nchi kama Libya, huenda nikweli uchaguzi haukuwa na wa haki, ila unachofanya atakae athirika kwa sehem kubwa ni mwanchi wa chini kabisa yule mnyonge, mazimba mteendelea kula kuku kwa mjija
 
..ushauri huo ungeutoa pia kwa wanaoharibu chaguzi zetu, na kuwatesa wanachama na wafuasi wa upinzani.
 
..ushauri huo ungeutoa pia kwa wanaoharibu chaguzi zetu, na kuwatesa wanachama na wafuasi wa upinzani.
Sina kalamu kubwa kaka, na sauti yangu ni ndogo haiwezi kuwafikia huko.. mimi pia sifurahii dhulma.
 
Sina kalamu kubwa kaka, na sauti yangu ni ndogo haiwezi kuwafikia huko.. mimi pia sifurahii dhulma.

..asante.

..Libya ilisambaratika kwasababu ya dhuluma.

..Gaddafi angeruhusu wananchi wa Libya kuanzisha vyama vya siasa, na akaendesha uchaguzi ulio huru, angeondoka madarakani kupitia sanduku la kura.
 
Tundu amekuwa mpiga porojo mapema sana
Mkate huo ushawekwa kwenye chai waaah, sijui hadithi gani anatuhadithia kuhusu ICC,watu tunajua hayo miaka 20 kidogo.
Nikasema mimi akifika huko anaenda tutakua tunapiga porojo hapa JF basi.
 
Kumbe Chadema wachache,. Sasa mliibiwaje kura wakati ni wachache? Sasa mwambieni beberu wenu kuwa Lissu anamdanganya Hana wanachama wa kutosha kushinda urais ili waache kuhangaika.
Watanzania wasio na vyama ni wengi mno na hata CCM wenye utu na ubinadamu wasiopenda uonevu waliwapigia kura wapinzani, CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu ujinga uonevu wa CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Kwa hiyo, hitimisho hapa ni kwamba huko ICC hakuna habari yoyote inayoihusu Tanzania; hata ile isiyokidhi mahitaji ya mahakama hiyo kwa sasa?
Je, na kama kuna taarifa iliyofika huko, lakini ikawa haikidhi mahitaji ya mahakama kuanzisha kesi kwa sasa, kuna uhakika kwamba taarifa hiyo haiwezi kuwa sehemu ya taarifa nyingine zikiwasilishwa huko pakiwa na ushahidi wa matukio mengine?
Zanzibar kuna ushahidi wa kutosha kupitia video nyingi zilizopigwa huko
 
Mkuu weka ushahidi. Hizi ngonjera na alinacha tuliziacha zamani, ni jukumu lako kuleta ushahidi usio na mashaka/evidence.
Ushahidi uletewe wewe nyumbani kwako? Ushahidi utauona The Hague subiria mambo yaive
 
CCM ya sasa hawaruhusiwi kufikiri kabsa mwenye mamlaka ya kifikiri ni mmoja pekee na lazima zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM pasipo kujali ni nzuri ama mbaya
 
Zanzibar kuna ushahidi wa kutosha kupitia video nyingi zilizopigwa huko
Video hizo siyo ushahidi wa kutosha; ndiyo maana walishindwa kumshitaki Kenyatta ingawa video kama hizo zilikuwepo. Ushahidi unaotakiwa ni kuwa mshitakiwa, yaani Magufuli mwenyewe, siyo serikali yake, alihusika moja kwa moja na vitendo hivyo. ICC hawashitaki serikali bali hushitaki watu individually. Iwapo polisi ilifanya vitendo hivyo na kuna video kuthibistha lakini wakashindwa kuunganisha vitendo hivyo na Magufuli, basi huo unakuwa siyo ushahidi tena; na ICC haiwezi kushtaki jeshi la polisi !
 
Eti Kesi ICC, huyo bwege huko alipo atapangiwa kazi km wacongo na wanyarwanda, warundi na wote wapopo wote toka francofone waliomo humo kwa mujibu wa katiba ya huko.
Case closed
 
Yani tundu Lissu wema aliowafanyia watanzania na tunayomlipa ni tofauti yani Kama yesu wayahudi na baraba

Imagine alivyowapigania watanzania kutambua ukweli dhidi ya wizi uliofanywa na dola na namna alivyopinga Tanzania kuongozwa kidikteta lakini Leo hii Kuna watu wanamsemea mabaya daaah walimwengu aisee ajabu Sana hua siamini Mambo ninayoyaona ambayo yako against Lissu mpaka huwa najiuli aliwakosea nini yeye binafsi?
Mkuu, hivi kati yetu watanzania na nyie wafuasi wake ni nani aliyemfanya mbaya? Sisi alitaka kutushogesha tukakataa; nyie mkamwahidi kuwa atawaingiza barabarani lakini siku ilipofika mkachicken, sasa nani mbaya hapo?
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
A hero for what? My fiend you will recognised the truth time gone,keep on being false informed by your false prophet lissu who is abroad making nonsense issues so as to feed his followers who are empty in their heads like you here.
If you are blind remain as you are magufuli followers 90% of them are blind,that is the fact.
 
Back
Top Bottom