Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!
2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru
3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga
4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga
Ni hayo kwa leo