Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.

Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI

Kumbuka:

1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!

2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.

Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga

4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga

Ni hayo kwa leo
Hoja:
Ushindi hauhitaji pesa.
Kama ambavyo Bilionea Mbowe, Mzee wa Chopa, alivyoshindwa.
Idadi ya 48% za Mbowe ilikuwa sawa na Upepo wa Kisulisuli.
Kama Uchaguzi ukirudiwa leo, hao Asilimia 48 ambao Mabegi yao yamezuiliwa kwenye Magesti walikopelekwa kufichwa, wengi wao watamchagua Tundu Antipas Lissu.
Ushahidi umejionyesha jinsi Baraza Kuu lilivyopitisha TEUZI zake za Kamati Kuu na Sekretarieti.
Kwenye hili la LUMPEN PRORETARIAT, nina mawazo tofauti na wewe.
Hawa ma-lumpen wameweza kuwatajirisha Bulldozer Mwamposa na Mfalme Zumaridi.
Kwa pesa ndogo ndogo za kununua Chumvi.
Tena wakiwa wachache.
Kwenye MABADILIKO, watu tupo wengi sana.
Tena wengi hawana Vyama.
Ambao ndio majority ya Watanzania.
MUHIMU NI MOBILISATION!!
Na hicho ndicho kipaji kikubwa cha Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu.
Na JOIN THE CHAIN.
Itakayosimamiwa na Godless Jonathan Lema.
Pesa zitapatikana.
Tena pesa zisizo na uchafu wa ufisadi.
Hata mimi CCM niko tayari kuchangia MABADILIKO ili Wajukuu wangu wakulie katika Nchi nzuri na salama.
 
Nadhani kiongozi mbowe ni mjinga sana. Inamaana hata kama ngo yake angepata kiti cha urais uwezekano mkubwa angefanya ufisadi kuimarisha chama. CCM tuna vyanzo vya mapato vingi na tuna hela ni chama tajiri.
Msijitape sana.
Kila mtu anajua vyanzo vyenu vya mapato ni vya kurithi kutoka serikali ya chama kimoja....!
 
Lissu juzi kashindwa kutoa Milioni 50 ya mkutano pale Mlimani City siyo yeye wala Heche au Lema wanaweza kuchangisha wote wezi tu.
 
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.

Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI

Kumbuka:

1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!

2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.

Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga

4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga

Ni hayo kwa leo

View: https://x.com/i/status/1882827244386554337
 
UFIPA huenda wasione kilichopo mbele yao na kinachokuja kukikuta chama chao lakini dalili wameziona juzi wakipozimiwa umeme ukumbini kwa kuwa muda wa kufanya mkutano wao kuisha na kukosa 50m TZS kulipa ili kuendelea kutumia ukumbi pale Mlimani City.
 
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.

Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI

Kumbuka:

1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!

2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.

Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga

4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga

Ni hayo kwa leo
Acha kuweweseka muache Mwenyekiti afanye kazi, changamoto zote zitapata majibu kwa wakati husika
 
Back
Top Bottom