M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Mm namshukuru Mungu kwenye mishemushe zake aliwai kupita kwenye kizuizi cha mazao mwaka 2020 akitokea kumnadi mugombea ubungea nilikuwa natoza ushuru, alisimama nyuma ya foleni za magari zinazo kaguliwa akashusha kioo cha nyuma akaniomba nimsaidie kufungua barrier awai kulala maana kesho yake atakuwa na mkutano Karagwe. Nawaza kama anakumbuka hii kitu maana nililopoka kwamba jamani kuna Tundu lissu hapa, mugambo wa barrier wakaja kumsalimu wanamwambia mueshiwa chukua fomu ya urais basi? By that time alikuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. Nachotaka kusema uwa ninaona mbali kuna uwezekano mkubwa wa Lissu kuchukua nchi.