Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.

Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI

Kumbuka:

1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!

2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.

Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga

4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga

Ni hayo kwa leo
Hao 48% ni asilimia ndogo sana ya wanachadema
 
Nadhani kiongozi mbowe ni mjinga sana. Inamaana hata kama ngo yake angepata kiti cha urais uwezekano mkubwa angefanya ufisadi kuimarisha chama. CCM tuna vyanzo vya mapato vingi na tuna hela ni chama tajiri.
Utajiri wa ccm unalindwa na yenyewe kuwa madarakani, ukiitoa madarakani itakufa kama yale mashirika ya umma yalivyokufa.
 
Lisu hauzi unga, chama ni cha wanachama ndio watakaokichangia.
Uzuri wanaharakati wa kipumbavu huongozwa na mihemko ya Kitoto sana…. Muda ni hakimu Mzuri sana tupo hapa. Wazungu wana msemo wao usemao ‘curiosity killed the cat’ haya mambo tunauachia muda utatuambia tuuu…. Relax changia hela ujenge chama.
 
Mna utoto mwingi sana!! Hapo ulipo zaidi ya kupiga domo hata kuchanga 50K huwezi…. Uzuri hivi vitu havitaki maneno maneno zaidi ya vitendo….. muda utaongea.
Wewe kumbe unafikiria hela kubwa hvyo? Chadema roughly tupo 6m pigia kwa bukubuku wew mwenye usungo😏
 
Sasa ameshinda anamtaja taja mbowe wa nini si alisema achukue vacation.mtu yuko zake dubai anaogelea unaanza leta mambo ya michango .kawaachia chama
 
Uzuri wanaharakati wa kipumbavu huongozwa na mihemko ya Kitoto sana…. Muda ni hakimu Mzuri sana tupo hapa. Wazungu wana msemo wao usemao ‘curiosity killed the cat’ haya mambo tunauachia muda utatuambia tuuu…. Relax changia hela ujenge chama.
Acha jazba, chama ni cha wanachama sio cha mwenyekiti. Hili ni dua la kuku.
 
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.

Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI

Kumbuka:

1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!

2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.

Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga

4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga

Ni hayo kwa leo
Ni wewe tu una kinyongo na nilishakuambia kuwa wewe si mwanachadema kwani hata kipindi chote kuelekea uchaguzi ulikuwa unahubiri watu waondoke Chadema. Hao 48% unaosema wameshaanza maisha mapya ya Chadema moja yenye nguvu. Hujui hata uchungu wa ku recruit wanachama wapya ndiyo maana unaongea kirahisi hivyo.
 
Acha jazba, chama ni cha wanachama sio cha mwenyekiti. Hili ni dua la kuku.
Siwezi ombea dua la Kuku CDM Nimetoka nayo mbali sana!! Lissu hakujiandaa kuiongoza CDM na kwa nature ya watanzania Hana muujiza wowote ule kuikwamua kifedha…. Hii pride ya kipumbavu na kitoto mliyonayo very soon mtaimeza….
 
Tutachanga,Binafsi nitajitahidi niweke mambo sawa walau kila mwezi niingize japo 10,000,000.
 
Cdm ni chama cha siasa sio taasisi ya kifedha. Kama chama kitakufa kwa wanachama kutokukichangia acha kife maana ndio uhalisia, kuliko kuendeshwa na drug cartels. Kama vipi kwakuwa Mbowe mnasema ana hela akaanzishe chama kingine astaafu akiwa na miaka 68. Hivi vitisho vya kijinga pelekeeni waabudu pesa za rushwa.
 
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.

Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI

Kumbuka:

1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!

2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.

Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga

4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga

Ni hayo kwa leo
Mshauri sasa cha kufanya .
 
Umaskini na unyani wa fikra unakusumbua nilikudharau sana uliposema unatamani jeshi lichukue nchi mna utoto mwingi sana watu tulikua tunachnagia hadi milioni 5 CDM Leo mnaita hela Za wauza unga!! Mna thinking Za kishenzi sana kama Za Akina Magufuli…. Uzuri haya mambo huwa hayahitaji porojo…..

Yaani seriously unasema bora chama kife?? Hizi akili Za kipumbavu na kinyani ndo Lissu anazitegemea seriously???

Siasa ni Pesa sio kuongea ongea hadi unatokwa ute mweupe mdomoni…..
 
Hii spirit ya kumtegemea mtu 1 kwa kila kitu ndo ilikua inawafanya mnanunuliwa kirahisi.Mbowe aliifanya CHADEMA duka lake binafsi.
Kamanda changia chama…. Hivi inaingia akilini mjumbe wa KK anashindwa Jilipia 100K ya hoteli? Lissu alishindwa hata lipia 30M!!

Hapo unatype upo juu ya uchi huwezi changia hata 10K we hayawani.
 
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.

Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI

Kumbuka:

1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!

2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.

Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru

3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga

4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga

Ni hayo kwa leo
Hiyo tofauti ya 52% kwa 48% inahusu wanachama wote wa Chadema au wajumbe wenye sifa ya kupiga kura? Kwani Mbowe alikuwa anatoa pesa?
 
Tutachanga,Binafsi nitajitahidi niweke mambo sawa walau kila mwezi niingize japo 10,000,000.
Hapo ulipo umelalia neti yenye matobo hata kodi ya elfu 50 inakushinda unaharisha JF utatoa 10M kwa chama!!!!! Lissu mjinga na ana mambo ya kitoto sana kuvimba kichwa kwa sentiments Hizi Za balehe
 
Back
Top Bottom