Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Una washwa wewe..!!Acha matusi dogo!
Hakuna mpuuzi atakuwa anatoa pesa Bure!
CHADEMA ilikuwa na ruzuku ya mabilioni!
Huyo mumeo ana pesa kiasi gani?
Utakunwa veri suni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una washwa wewe..!!Acha matusi dogo!
Hakuna mpuuzi atakuwa anatoa pesa Bure!
CHADEMA ilikuwa na ruzuku ya mabilioni!
Huyo mumeo ana pesa kiasi gani?
Mkuu hadi kesho vyama vya siasa USA wanaomba michango online sembuse CHADEMA? Shida watu wamezoea tabia chafu ya CCM ya kuchota pesa za walipa kodi na kuwapatia wasanii na watu wachache ndiyo mnafikiria kila chama kifanye hivyo.Ila chadema wapunguze kuomba omba wanakuwa omba omba kwani pesa wanayopewa na serikali kwa ajili ya kuendesha chama huwa inaenda wapi inafanha kazi gani?
Mjitegemee bhnaMkuu hadi kesho vyama vya siasa USA wanaomba michango online sembuse CHADEMA? Shida watu wamezoea tabia chafu ya CCM ya kuchota pesa za walipa kodi na kuwapatia wasanii na watu wachache ndiyo mnafikiria kila chama kifanye hivyo.
Kama chama ni cha wanachama ni lazima wakihudumie MUST
Mimi na nani? Tokea lini chama cha siasa cha wanachama kikajitegemea? Timu za mipira yenyewe hayajitegemei yanategemea michango ya wanachama sembuse vyama vya siasa.Mjitegemee bhna
Naona unajitia moyo ya kwamba ipo siku CDM baada ya Mbowe kufurushwa na wajumbe. Kila kheri usijepata kiharusi.Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!
2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru
3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga
4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga
Ni hayo kwa leo
Siku hizi umekomaa akili unawaza fact!Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!
2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru
3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga
4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga
Ni hayo kwa leo
Ni kweli ni watu 500,,,lakini wana ushawishi.Mbowe 🐼
Halafu usiwe mjinga hiyo 48% ni Watu 500 tu 😂
Kwaiyo unahisi mbowe alikuwa na mabillion magapi ya kuipa chadema kila siku?Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!
2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru
3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga
4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga
Ni hayo kwa leo
Majeraha sionrahisi kuponyeka mapemaAmesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!
2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru
3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga
4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga
Ni hayo kwa leo
Following ..Mimi niko tayari kuchangia
Ni hivi hakuna kuhama chama mkishindwa, ww utachanga au bado umenuna?Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally. Utaitisha michango kila siku, watakuchoka! WATACHANGA ZA KUNUUA LUKU SIYO CHOPA YA KAMPENII!, MISHAHARA and the big like!
2. CCM inapeta kwa vile wanachota huko mahali, wanachota wanavyotaka! Kumbuka Mkapa na Bilioni 300 za uchaguzi alizochota benki kuu.
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru
3. Kumbuka una resistance ya 48% vs 52%. Hawa 48% hawatachanga
4. Mashabiki wako wengi ni lumpen proletariat...hawana hela zakuchanga
Ni hayo kwa leo
Ni kweli, tatizo ni umaskini ndio maana watu wanaweza kugombana na konda kwenye dalala kwa sababu ya sh 100 tu.Watanzania sio kwamba hawataki kuchanga ukweli ni kwamba Watanzania wengi ni masikini sana..
Fikiria mtu ni mjumbe wa KK lakini laki moja inamtoa roho hadi vitu vinazuiwa hotelini...
TL ana endeleza parade la furaha na kuwasagia kunguni team FAM..
Tumpe muda... Yupo kujitambulisha kwenye Media daily... Dancing troupe yake inaendeleza libeneke X na CH...
Good riddance
You wish.Kipimo ni gari analochangiwa hadi Leo hela haijatimia…. Kama yeye alijibu simply hiyo mil 30 Hana Leo yeye ndo baba wa familia watu wanategemea waone mambo yanasonga.