Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

Hahahahahahahahaahahahhahahahahahah.....

JF ni kiboko.watu wanaongea kingine na wewe unaongea kingine.tofauti kabisa.

Hahahahahahahahahahahahahahaha.....
Duh!
 
Kuna uhusiano wowote na mada hapo juu
 
Na ww unaamini

Niliona magari ya msafara wa Rais na ndege ATC za serikali kwenye kutengenezwa Royal tour. Msafara ulisimama Tegeta na ikatokea kauli ya hatuchanjiiii! Sijui magari na mibinduki ni fedha au la?
 
Biashara kubwa Amazon ?

I doubt it that is sale / rent price hapo Amazon anakula commission yake accordingly it depends na aliyoiweka ameingia mkataba gani..., Rent / Sale kwa bei hio haimaanishi itauzwa au kuwa rented inaweza isipate hata mteja / muangaliaji

Kwenye hili faida ingebidi ipatikane kama promotion ila tatizo langu kilichokuwa promoted huenda kikawa more of a campaign to individuals na sio mbuga / nchi
 
Tusubiri CAG kivuli wa ACT-Waladili aje kuichambua
 
Wakati mwingine mtu unapata hasira ila hujui kama hasira itasaidia
 
Kumbukeni gharama iliyotumika ni bilioni 7.
Kabla hamjaanza kutafuta faida tulijue hilo
 
Huyu Mwamba ni akili kubwa sana.

Nani alifikiria jambo hili?
 
Lisu haulizii gharama .... anauliza sisi kama nchi tutapata nini kwenye mauzo ya hiyo filamu ... tumetoa actor, scenes, location etc .... hebu jibuni swali
Ni swali muhimu sana. Tunauza kazi ya sanaa , kazi ya utalii. Tulipwe
 
WE JAMAA MBONA UNAWASHWA SANA!!
 
Kwani stelingi wa filamu hapati hata kifuta jasho??

Maana mimi navyojua ukiwa stelingi lazima upate japo kidogo ya maji ya kunywa.
 
Aliko safari yake imegharamiwa na Peter Greenberg? kwenye hiyo tour usafiri, malazi, ulinzi ulikuwa unalipwa na Peter Greenberg?
Nimehoji hivyo kwa hiyo hata alivyoenda huko ulaya ghrama zimelipwa na bwana perer Greenberg watanzania wanaongopewa sana. Hakika tuna kizazi cha hivyo tangu ulimwengu kuumbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…