OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
usishangae hata waliocheza movie hawajui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NijuzeMashirika yaliyochanga ni ya marekani ? Ama ya kitanzania
Yaani makundi yakubaliane namna fedha zao zikatumiwe na serikali ili kumtajirisha muandaaji wa filamu?Inategemea hayo makundi uliyoyataja yalikubalianaje
Hahahahahahahahaahahahhahahahahahah.....Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
Na ww unaamini
point ya Lissu iko kwenye main character (Raisi) na kutumika vivutio vyetu.Serikali haikutoa hata senti moja. Wamesema ni fedha za wadau wengine.
Lisu haulizii gharama .... anauliza sisi kama nchi tutapata nini kwenye mauzo ya hiyo filamu ... tumetoa actor, scenes, location etc .... hebu jibuni swaliMmeambiwa haijatumika hata senti ya serikali means hamna chenu subirini watalii.
Huyu Mwamba ni akili kubwa sana.Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter
Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais wetu & location ya movie ni mbuga zetu?
Ni swali muhimu sana. Tunauza kazi ya sanaa , kazi ya utalii. TulipweLisu haulizii gharama .... anauliza sisi kama nchi tutapata nini kwenye mauzo ya hiyo filamu ... tumetoa actor, scenes, location etc .... hebu jibuni swali
WE JAMAA MBONA UNAWASHWA SANA!!Chadema walivuta mamia ya mamilioni kwa sabodo ili wajenge Ofisi ya makao makuu ya chama, Hela wakagawana Mnyika ...Mbowe ...na Lissu. Mpaka Leo chama kimepangwa katika Ofisi za baba mkwe wa Mbowe Mzee Mtei, yaani chama kinamlipa Kodi baba mkwe wa Mbowe, Chadema tusitarajie kujengewa Ofisi ya chama, wanafamilia wanapeana kodi
🤣🤣🤣Lissu ni akili kubwa. Wewe ulikuwa unapiga makofi tu ulijua kama inaenda kuuzwa?Lisu mtata sana.
Chadema wameishiwa hoja!
Nimehoji hivyo kwa hiyo hata alivyoenda huko ulaya ghrama zimelipwa na bwana perer Greenberg watanzania wanaongopewa sana. Hakika tuna kizazi cha hivyo tangu ulimwengu kuumbwa.Aliko safari yake imegharamiwa na Peter Greenberg? kwenye hiyo tour usafiri, malazi, ulinzi ulikuwa unalipwa na Peter Greenberg?