Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Eee wakali hao , mi utamaduni wao huwa siuelewagi kabisaAnalysis nzuri na ya ukweli, ila hawa vijana wa Chadema, hawalioni na hawatalikubali hilo, kwani hawana logical thinking capacity.
Hee! Kama kuna mgombea kafanya hivyo basi amepoteza sifa za kugombea!Sawa ila haozeshi mama mzazi kwa Jogooo
Hahahaha ila kwanini mnajitoaga ufahamu sana? Kama hii ni analysis nzuri basi ni sahihi PhD holder kulipwa laki tanoAnalysis nzuri na ya ukweli, ila hawa vijana wa Chadema, hawalioni na hawatalikubali hilo, kwani hawana logical thinking capacity.
Unamjua Lisu vzr au unamshabikia tuNi kweli Tundu hajui kushika bunduki, kuteka wala kupoteza watu, na hata kubambikia wengine kesi.
Huo ni woga tu! Ni vizuri utumie muda huu kumshauri M\kiti wenu wa CCM manake kila uchwao anatia aibu.
Sisi tunasimama na Lissu this October.
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Mtoa mada Ni mpuuzi, kupita bila kupingwa ndo heshima? Nini maana ya demokrasia?
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Huo ni woga tu! Ni vizuri utumie muda huu kumshauri M\kiti wenu wa CCM manake kila uchwao anatia aibu.
Sisi tunasimama na Lissu this October.
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Acheni hofu wakuu mbona mmekuwa mkifanya siasa miaka mitano iiyopita lakini mnawaogopa watu waliokuwa kimya muda wote huo?
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Nadhani unajua kuwa mtu kuwa na kesi nyingi sio kigezo kabisa cha kumkosesha kugombea. Mtuhumiwa atabaki bila hatia hadi hapo mahakama itakapoamua vinginevyo!
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Hahahaha ila kwanini mnajitoaga ufahamu sana? Kama hii ni analysis nzuri basi ni sahihi PhD holder kulipwa laki tano
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Lissu anakuhusu nini?