Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
- Thread starter
- #21
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Ni kweli Tundu hajui kushika bunduki, kuteka wala kupoteza watu, na hata kubambikia wengine kesi.