Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Ukimuangalia anafundishika?Magufuli anapenda utani lakini hana lugha nzuri ya kufisha ujumbe sasa utani wake unamgharimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimuangalia anafundishika?Magufuli anapenda utani lakini hana lugha nzuri ya kufisha ujumbe sasa utani wake unamgharimu.
Hapana angejifunza kuepukana na utani kwenye kadamnasi aongee ya muhimu tu.Ukimuangalia anafundishika?
Mipango ni mingi hata kumtia ndani mpaka baada ya uchaguzi wangeweza wangefanya.kuna mchezo unaendelea wa kumtoa mtu kwenye reli...tena masukudi
na kwa aina ya mapokezi yake Lisu anakubalika,raia hawakuogopa zaidi walitumia mbinu zote kufika JKNA
CHADEMA wakimwacha Lissu wakapimwe akili walahi
Achana na Lissu hangaikeni na kichaa wenu apite bila kupingwaTUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa?
Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa nafasi yoyote ya kisiasa kwa kukiaka masharti ya watumishi wa umma baada ya kuvuliwa nafasi ya Ubunge.
Lissu ni mwanasheria mzuri anaujua ukweli ila anataka kulazimisha kinyume na utaratibu ili ionekane kwamba ameonewa ili hali anajuaa wazi kuwa hawezi kuwa mgombea kwa miaka hii mitano.
CHADEMA wanashindwa kumwambia Lissu ukweli kwamba ameshapoteza sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa Tanzania.
CHADEMA wangekuwa hawana hvy vizingiti Tundu Lisu angekuwa mwenyewe.
Kingine Tundu Lisu ana kesi nyingi zinazomkabili ukizingatia kuwa tarehe 26/08/2020 ana kesi ina msubiri mahakamani.
Vyote hivi vikwazo vinawapa shida sn CHADEMA kuamua hatima ya ugombea wa Lisu wakicheza wanaweza kukosa mgombea kabisa wanaweza wakalichukulia poa hili jambo lakini ndivyo ilivyo.
Lakini pia kuna habari za chini ya kapeti zinazoonyesha kuwa wale mabwenyenye wa wa Chama hawamtaki Lisu kwa aina ya siasa zake zenye msimamo mkali.
Tundu Lissu atulize akili sana ajiandae kwa lolote.
Wewe anakuhusu nn?Lissu anakuhusu nini?
Eti analysis nzuri na ya ukweli..pyuuuu..halafu na wewe unaweza kuwa ni graduate? Hebu tusaidie: Lissu amepotezaje sifa ya kuwa mgombea urais? Tuanzie hapa!Analysis nzuri na ya ukweli, ila hawa vijana wa Chadema, hawalioni na hawatalikubali hilo, kwani hawana logical thinking capacity.
Atakabidhiwa kitu kinaitwa kuru kwa lugha ya kanda ya ziwa huko ni kobe, lakii sio Ikuru.Na mwaka huu lazima uruke kichaa kwa sababu ya Lissu maana anavyokuchanganya inaelekea hata kula huli. Jiandae tu kumkabidhi ikulu hapo October 2020. Amini nakwambia huyu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania coming October 2020
Endelea kusapoti tu CCM kwa sababu unafaidika na ukanda. Ila watanzania wa maeneo mengine yote tumeamua. Uraisi tunaenda kumpa Tundu Antipas Lissu.Atakabidhiwa kitu kinaitwa kuru kwa lugha ya kanda ya ziwa huko ni kobe, lakii sio Ikuru.
Lazma aongelee yaliyomsibu kwanza alafu aombe kura basiUkweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
Endelea kusapoti tu CCM kwa sababu unafaidika na ukanda. Ila watanzania wa maeneo mengine yote tumeamua. Uraisi tunaenda kumpa Tundu Antipas Lissu.
Tukutane hapa October 2020N
Ni wewe na familia yako ndo mtamchagua
Na huenda ukawa wewe mwenyewe maana kura ni siri.
Lisu muda wa kutumia elimu yake ni kurudi ulaya akamalizie umri wake.
Narudia baada ya uchaguzi atakimbia tu huyo maana usanii umemjaa na kuwahadaa nyie bavicha ili mumuone wa maana.